CHADEMA sasa waonja machungu ya Lowassa

CHADEMA sasa waonja machungu ya Lowassa

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSC09951.jpg
 
Ikuli si mahali pa masihara na mizaha
 
Mbona mnachukuwa maneno ya sisiemu. "Mbele kwa mbele"?

We mzima kweli kuna maneno ya chama kwenye lugha ya kiswahili? Ubongo wako unakutuma kila atakayevaa njano ni ccm au yanga acha utoto hukushangaa magufuli alivyosema peopleeeessssss
 
maccm na vibaraka wenu jiandaeni kisaikolojia m
hapo oct 25 hata mkwere analijua hlo
 
KAKA AMANI VIPI TENA! Mbona unachanganya Madawa.... MBELE KWA MBELE NI MAGUFULI.......LOWASA - MABADILIKOKO...
 
atakamatwa tu hakuna namna,na hiv ana nyota ya kukatwa na watz tutamkata


tofauti iliyopo chichiem wanathubutu katamka na kupinga ufisadi kwenye majukwaa...na kuwataka mafisadi waondoke au wakisubiri watakuja kushughulikiwa na kitengo maalumu.... Upande wa pili ...wana ukawa hawathubutu hata kulitaja hili neno...na wanakanusha kuwa ufisadi haupo...wamekuja na kitu kinachoitwa mfumo.....
 
Back
Top Bottom