Cdm ilianza na shetani itamaliza na shetani ukweli huu utaupata mwezi wa kumi.
Chadema ni makini kwa kuteka watu muulize msack majibu anayo lakini siyo chama cha kutumikia watanzania.
Mkuu unazungumzia mungu yupi aliyeko chadema yani dhambi zote hizi wanazofanya chadema mpaka kumwagia watu tindikali tindikali bado awe nao hapana huyo mungu siyo huyu tunayemjua labda kama wanaye mungu mwingine tengeru.
Mungu yupi mkuu? Huyo mungu atakuwa dhaifu sana amekubali Chadema kiwe chama cha upinzani.
Huyo Mungu wa chadema huwa simuelewi kabisa lazima atakuwa mchaga tu.
Muulize mshua wako anaipigia salute ww uleta utoto wako hapa
Mungu yupi mkuu? Huyo mungu atakuwa dhaifu sana amekubali Chadema kiwe chama cha upinzani.
Kama huna cha kusema si unyamaze tu? Kwani ni lazima useme?Cdm ilianza na shetani itamaliza na shetani ukweli huu utaupata mwezi wa kumi.
Mkuu unazungumzia mungu yupi aliyeko chadema yani dhambi zote hizi wanazofanya chadema mpaka kumwagia watu tindikali tindikali bado awe nao hapana huyo mungu siyo huyu tunayemjua labda kama wanaye mungu mwingine tengeru.
Target ya ilikuwa kuimaliza CHADEMA kabla ya 2012.
Malengo yamekwama, wamekosa muelekeo tena.
Hakuna chama makini cha upinzani kilichokipitia misukosuko na kuendelea kubaki imara kama CHADEMA
Chadema chama cha kikabila na ukoo kwa upande huo kweli kiko imara make kama hujatokea mikoa yao uongozi ndani ya chama hupati.
Mungu yupi mkuu? Huyo mungu atakuwa dhaifu sana amekubali Chadema kiwe chama cha upinzani.
mahakama ipi ili prove thy are guilty?
Ni chama kikubwa kwa sasa tena kilichokua kwa viwango vya kukua.Ni chama kulichosaidiwa na CCM kuwa imara kwa ujinga tu wa CCM. CCM ilifanikiwa kutumia mbinu za kishenzi kuviua au kuvidhoofisha vyama vingine vilivyokua na nguvu na ikafanikiwa.
Lakini CCM kwa mbinu hizohizo za hovyo imegonga mwamba kwa Chama makini CHADEMA. Matokeo yake sasa CCM baada ya kushindwa kuiua CHADEMA sasa inajiua,imejnyonga yenyewe.
Nilikua nasubiri kwa hofu kifo cha CHADEMA 2013, 2014 CHADEMA iko hai. Kizuri zaidi kwangu na wengi wetu CHADEMA imeimarika na kukua mara dufu na hii ndio ikiwa ni mbaya kwa CCM. Sasa hivi CHADEMA ilipofikia hata Mbowe na Slaa waking'atuka CHADEMA itasonga mbele.Na jambo la kushangaza CHADEMA inapiganiwa, inatetewa na kujengwa na watu isiowafahamu na wala sio waajiliwa wala sio viongozi wake.
Mimi binafsi ni mmoja wa voluntier ninaeipigania kwa akili na nguvu zangu zote pia nimegundua kuna watu wengi wanaipigania CHADEMA kwa hiari zao na kwa siri kubwa. Mbinu chafu zimeshindwa sasa CHADEMA jipangeni kwa hila za kuandiiisha wapiga oura na kuzuia wizi wa kura 2015 ndo hii.
Akili za kitaahira haziwezi kuchanganua mambo kwa kina, hapa ndio akili zako zilipoishia. Chama cha ukoo na kikabila na bado CUF na NCCR wakaona umuhimu wa kushirikiana na CHADEMA na kuanzisha UKAWA.