CHADEMA sasa ndicho chama tawala

You must be pregnant!!! You see nothing, hear nothing, think nothing, simply because you are married by ccm and now you are pregnant. The pregnat given to you by ccm-magamba. You will deliver a dead child.


Una maana CCM nzima wamegonga au selected tuuu, Hii mimba itazaa sijui kitu gani vile?au kimagamba kingine?
 
chama tawala wapi? Church? au wapi?
toa kinyesi chako hapa, yaelekea hata hujui maana ya chama tawala.
 
Kumbe source ya taarifa hizi ni gazeti la CDM, chama tawala ni kile kilicho kabidhiwa dola ( someni katiba acheni bla bla great thinkers)
 

Ni kweli Chama tawala kanisani
 
kuna mtu siku za hivi karibuni sana aitoa thread hapa JF kua ianzishwe TV ya CHADEMA.
me binafsi nililipenda sana hili wazo. hii itasaidia sanawatu wasio na access ya majukwaa kama haya
kuopata interpretations kama hizi. na kujua ukweli wa mengi ambayo wengi hatuyajui bado.
lakini pia elim ya demokrasia bado inatkiwa saaana jamani kwa nchi kama yetu.
me naamini CCM hata siku moja haishindi kwa kustahili bali kwa opportunity ya ujinga wa watu wengi.

watu hawa wakijua ukweli hakuna mtu atakaeichagua CCM.
 
Chadema wanatawala tz mentally. ccm wanachofanya wao ni kutekeleza hoja za cdm....Physically.
 
Pole sana kwa kujifariji, CCM itaendelea kuongoza. Tunasafisha chama kwanza ile tuone kama CHDm watakuwa na hoja.

Hakuna namna ya kusafisha chama ndugu yangu zaidi ya kukamata mafisadi, taifisha mali zao, weka ndani mafisadi!! Vipi hapo mnaweza hilo? Ndilo tunalo subiri kama hilo mtaweza mtatawala milele maana hata mkulu naye atawekwa ndani kwa ufisadi
 
Great thinkers siku hizi siwaoni tena. Bla blaa nyingi ndio zimezidi. Kazi ya vyama vya upinzani ni kukosoa serikali na serikali ni kutekeleza mipango ya chama tawala na kurekebisha makosa. CDM safi sana kinajua kazi yake. Kazi yake ni kukosoa si kutawala keep up CDM.
 
CDM safi sana. Endelea kushauri CCM ili ijipange kwa uchaguzi ujao
 
. fact inabaki pale pale ccm is dancing to the tune of CDM:frusty:

Fredy wewe huwa unaakili kidogo sasa nashanga kwanini hulioni hili kama ni credit kwa chama tawala, CCM ina sifa ya usikivu na utekelezaji. Kwanza unapaswa kufahamu kuwa CDM ni muungano wa wananchi wa Tanzania, hivyo madai ya wana CDM kama ni ya msingi ni lazima serikali iyatekeleze. Serikali sikivu ya CCM itaendelea na utaratibu wake kushughulikia matatizo ya wananchi wake bila kujali itikadi zao za kisiasa, kwa serikali TADEA na CDM wote sawa na madai yao halali yatashughulikiwa lakini hii haiwafanyi wao kuwa watawala. Fredy nadhani unajua kuwa uhalali wa kutawala TZ unapatikana kwa njia ya sanduku la kura hivyo waambie hao wafuasi vipofu wana kazi ya ziada kutafuta uhalali huu na si kujipa faraja ya uwongo kuwa eti wanaongoza dola wakati wanajua kabisa kuwa wao ni akina nani. Labda unakumbuka mfano wa miaka ya karibu baada ya serikali kufuta misamaha ya kodi kwa mashirika na taasisi za dini na viongozi wa kanisa walipoamua kukaa na serikali na kuishinikiza ibadili msimamo wake, je baada ya serikali kulegeza msimamo tunaweza kusema nchi inaongozwa na makanisa? Hivi kama madai ya CDM ni halali ninyi mngependa kuona nini? serikali ikiyapuuza au ikiyatekeleza? na hii ni kwa faida ya nani? Mimi nadhani kwenu ingekuwa ni busara zaidi mkawapa moyo viongozi wenu na kuandaa mikakati ya kushinda chaguzi zinazokuja badala kuendelea kuwadanganya kuwa wanaongoza nchi. Mjue kuanzia sasa CCM imeendelea kushinda chaguzi kwa kuwa wananchi wanaiamini na wanajua kuwa ni chama kisikivu. Na ninyi waambieni viongozi wenu wasione aibu watekeleze madai ya watanzania ya kuacha udini na ukabila wala hakuna atakaye wacheka kuwa wanaongozwa na watu.
 
chama tawala wapi? Church? au wapi?
toa kinyesi chako hapa, yaelekea hata hujui maana ya chama tawala.

Sasa wewe nani kakutukana?mbona unakuwa siyo mstaarabu,haya tuambie hao mafisadi wanakulipa shilingi ngapi?au ni ushabiki tu halafu hujui kitu unachoshabikia,kuwa na heshima ueshimiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…