CHADEMA sasa mmekomaa, walivyotegemea sivyo

CHADEMA sasa mmekomaa, walivyotegemea sivyo

Ben yupo wapi hilo ndo la msingi...ngonjera zingne hatuzitaki..chadema walibidi watoe tamko kuwa MTU wao amepotea
Hiyo ni kazi ya Polisi wao ndio wenye dhamana na wao ndio watakaotoa TAMKO usiwe na wasiwasi
 
Katafunua, maukuta nayo yalikua ni mastrategy ya kukaa kimya?
 
Binafsi sikuipenda CDM ya Dr. Slaa... Ilikua ni ya kiharakati kuliko kimkakati...

Ndio maana operesheni sangara na M4C hazikuzaa matunda waliishia kupata kata tatu kwa chopa tatu!!

Ukweli usemwe pamoja na yote mazuri ya Dr Slaa alikua na udhaifu Mkubwa sana kiutendaji.
Kiongozi Dr Slaa alifanya kz kubwa sn..... Alikijenga chama from the scratch nafikiri elimu juu ya Uraia aliimwaga hasa matokeo ya uchaguzi Wa mwaka Jana yanaweza kukupa sura kamili hasa kwa jiji LA Dar Na nguvu kubwa waliyotumia ccm ktk huo uchaguzi.
 
Hivi nyie Lumumba mapenzi ya ghafula kwa Ben yametokea wapi mbona mlikuwa mnamtukana kila siku mitandaoni?

Strategy hii mpya imewaacha wazi wanafiki kwa sababu ni ajabu jirani kulia zaidi ya mfiwa.
Sijawahi kuwa Lumumba tafadhali sana. Inamana nyie MTU yeyote akikosoa ni Lumumba.. Free mind inahitaji aisee
 
Nyie pigeni kimya kimya kama ni support ya mawakili toeni ila punguzeni matamko keep low profile.

Kama nilivyoshauri mkutane nao mahakamani mitaani mtawala polisi credit za bure.
 
Wewe ni chungu kama wuinine kweli. Unadhani ni nani anasikiliza ushauri wako. We subiri tu 2020' Utaona maajabu ya Musa au ya firauni.
 
Ndio maana hata serikaki nayo imeamua kukaa kimya kwenye swala la Ben kama chadema wenyewe walivyoamua kukaa kimya. Serikali imekopi mikakati ya chadema tayar, imelazimishwa itoe tamko imekataa kwani matamko hayana maana ni mwendo wa kuviziana tu
 
Wewe ni chungu kama wuinine kweli. Unadhani ni nani anasikiliza ushauri wako. We subiri tu 2020' Utaona maajabu ya Musa au ya firauni.
Kwa Chadema tunayoijua yanayotokea serikalini leo wangeshatoa matamko 20.
 
Ndio maana hata serikaki nayo imeamua kukaa kimya kwenye swala la Ben kama chadema wenyewe walivyoamua kukaa kimya. Serikali imekopi mikakati ya chadema tayar, imelazimishwa itoe tamko imekataa kwani matamko hayana maana ni mwendo wa kuviziana tu
Ulitegemea serikali iseme nini zaidi ya kusema wanaendelea na uchunguzi.
 
Ben yupo wapi hilo ndo la msingi...ngonjera zingne hatuzitaki..chadema walibidi watoe tamko kuwa MTU wao amepotea..kama PA wa Chair wamekaa kimya je wewe mwanachama wa Nzega watakukumbuka hawa watu..! Usitake kujitetea kwa ujinga..km kweli Ben amepotea na mmekuwa kimya tumewadharau..

Pasco andika chochote
Alichosema mleta mada ni kuwa CHADEMA haihangaiki tena na agenda zenu
 
Ben yupo wapi hilo ndo la msingi...ngonjera zingne hatuzitaki..chadema walibidi watoe tamko kuwa MTU wao amepotea..kama PA wa Chair wamekaa kimya je wewe mwanachama wa Nzega watakukumbuka hawa watu..! Usitake kujitetea kwa ujinga..km kweli Ben amepotea na mmekuwa kimya tumewadharau..

Pasco andika chochote
Sasa mbona mnasema jpm kabana demokrasia wakati utendaji huu wa siasa unaonyesha unawafaa zaidi kuliko ule wa kipindi cha jk(Dr silaa)??
 
Maandiko Mtakatifu katika biblia
Mithali 21:23
"Anayelinda kinywa chake na ulimi wake anailinda nafsi yake isipate taabu"

MAHUBIRI 9:17
"Maneno ya wenye hekima yanayosemwa kwa utulivu husikiwa, zaidi kuliko kelele za mtu anayetawala kati ya WAJINGA."

Sasa endeleeni ninyi wenye "akili" ku justify welevu wenu.
Mambo haya ungemshauri Lema asingeingia lupango.
 
Hongera mwenyekiti wa Chadema taifa kwa kuruka mtego waliokuwa wamewategea keep low, waacheni wafanye madudu yao wananchi wanayaona wataamua wenyewe.
 
ukweli, ila wenye akili tu ndo watauelewa wapumbavu wataonyesha upumbavu wao pia
 
mleta thread hana tofauti na mtu anayejitekenya na kucheka mwenyewe....
 
Aliyedai kule Dodoma angepoteza watu ndiye amempoteza Ben kisa tu kudaiwa athibitishe kama yeye si dokta KILAZA!!
 
Back
Top Bottom