CHADEMA sasa mmekomaa, walivyotegemea sivyo

CHADEMA sasa mmekomaa, walivyotegemea sivyo

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,150
Reaction score
56,463
Kweli CHADEMA mmebadilika, hongera Katibu Mkuu Mashinji kwa kuja na strategies mpya.

Mwanzo sikuelewa kwanini mko kimya. Vijana wa Lumumba walikuwa wanataka CHADEMA kitoe tamko, walipoona business as usual wakaanza kudai kwanini Mbowe amesafiri eti akatishe ziara arudi kutoa tamko. Kumbe walitaka muingie kingi washangilie.

Ingekuwa enzi zile za daktari leo mngekuwa barabarani wengine wangekuwa Muhimbili wamevunjwa miguu wengine sentro polisi, Sirro angepanda cheo, Makonda angekuwa anashinda Clouds. Mmeshinda.

Good strategy, keep low profile talk less act more, waacheni wenyewe ndio wahangaike wasijue kesho mmepanga nini. Msiombe kukutana nao barabarani mkutane mahakamani au bungeni.

Mwenye akili ameelewa.
 
Binafsi sikuipenda CDM ya Dr. Slaa... Ilikua ni ya kiharakati kuliko kimkakati...

Ndio maana operesheni sangara na M4C hazikuzaa matunda waliishia kupata kata tatu kwa chopa tatu!!

Ukweli usemwe pamoja na yote mazuri ya Dr Slaa alikua na udhaifu Mkubwa sana kiutendaji.
 
Ben yupo wapi hilo ndo la msingi...ngonjera zingne hatuzitaki..chadema walibidi watoe tamko kuwa MTU wao amepotea..kama PA wa Chair wamekaa kimya je wewe mwanachama wa Nzega watakukumbuka hawa watu..! Usitake kujitetea kwa ujinga..km kweli Ben amepotea na mmekuwa kimya tumewadharau
 
safi sana chadema, nashawishika kuchukua kadi
 
Ben yupo wapi hilo ndo la msingi...ngonjera zingne hatuzitaki..chadema walibidi watoe tamko kuwa MTU wao amepotea..kama PA wa Chair wamekaa kimya je wewe mwanachama wa Nzega watakukumbuka hawa watu..! Usitake kujitetea kwa ujinga..km kweli Ben amepotea na mmekuwa kimya tumewadharau..

Pasco andika chochote
Matamko kwa sasa ameachiwa Rais wa nchi na Mawaziri wake, plus ma RC & DC, RPC OCD.
Matokeo yake pia nadhani umeanza kuyaona.
 
yan ume kuja Ku justify ujinga yaan chama kuto kutoa tamko unaona ni trick kwel
Maandiko Mtakatifu katika biblia
Mithali 21:23
"Anayelinda kinywa chake na ulimi wake anailinda nafsi yake isipate taabu"

MAHUBIRI 9:17
"Maneno ya wenye hekima yanayosemwa kwa utulivu husikiwa, zaidi kuliko kelele za mtu anayetawala kati ya WAJINGA."

Sasa endeleeni ninyi wenye "akili" ku justify welevu wenu.
 
Kata funua vipi imekoma!!? Mnakuja na nini tena?
 
Kwa hvo hata ukilawitiwa nyamaza ili kuilinda nafsi yako, naomba usiisome biblia kinyumenyume hata Yesu alijua anaipoteza nafsi yake kwa kuwaambia iliyo kweli masadukayo na mafarisayo

Maandiko Mtakatifu katika biblia
Mithali 21:23
"Anayelinda kinywa chake na ulimi wake anailinda nafsi yake isipate taabu"

MAHUBIRI 9:17
"Maneno ya wenye hekima yanayosemwa kwa utulivu husikiwa, zaidi kuliko kelele za mtu anayetawala kati ya WAJINGA."

Sasa endeleeni ninyi wenye "akili" ku justify welevu wenu.
 
Ben yupo wapi hilo ndo la msingi...ngonjera zingne hatuzitaki..chadema walibidi watoe tamko kuwa MTU wao amepotea..kama PA wa Chair wamekaa kimya je wewe mwanachama wa Nzega watakukumbuka hawa watu..! Usitake kujitetea kwa ujinga..km kweli Ben amepotea na mmekuwa kimya tumewadharau..

Pasco andika chochote
Hivi nyie Lumumba mapenzi ya ghafula kwa Ben yametokea wapi mbona mlikuwa mnamtukana kila siku mitandaoni?

Strategy hii mpya imewaacha wazi wanafiki kwa sababu ni ajabu jirani kulia zaidi ya mfiwa.
 
Hivi nyie Lumumba mapenzi ya ghafula kwa Ben yametokea wapi mbona mlikuwa mnamtukana kila siku mitandaoni?

Strategy hii mpya imewaacha wazi wanafiki kwa sababu ni ajabu jirani kulia zaidi ya mfiwa.

Nami nimewashangaa sana mkuu mana threads kbao humu za kujifanya wana mapenzi ya kweli kwa Ben zinaanzishwa na team lumbumba b7..nafikri hawa wanajua Ben aliko wanatafuta kujua je cdm wanajua ukweli?
 
Nami nimewashangaa sana mkuu mana threads kbao humu za kujifanya wana mapenzi ya kweli kwa Ben zinaanzishwa na team lumbumba b7..nafikri hawa wanajua Ben aliko wanatafuta kujua je cdm wanajua ukweli?
Mkuu inawezekana wameambiwa watikise kiberiti, possibly wamekuwa kimejaa, ndio maana nikasema Chadema wamekomaa hawatikisiki.
 
Back
Top Bottom