Chadema sasa itoke vipi?

duh...yaani hii hata kama ni condom basi itakuwa ni ile iliyotumika ikatupwa halafu ikaokotwa tena ili itumike mara ya pili...aaarghh
 
Jibu hoja acha kutapatapa Chadema itoke vipi au ndo itapotea kama MR Nice
 
Singo ziko nyingi sana. Inayotamba saa hizi ni ya ccm kugeuka chama cha wauaji kwa kuua makada wa CDM. Ikiisha hiyo inarudi agenda isiyochuja ya kupanda kwa bei za bidhaa na mfumuko wa bei unaosababisha maelfu ya watanzania kula mlo mmoja. Then Bunge litaanza na wabunge wa CDM wataSHINE huku wenu wa magamba wakiuchapa usingizi chini ya kamanda wao Wassira
 
Kweli nimeamini kuwa Nyani halioni KUNDULE....! Kama una mtazamo huo, subiri 2015 ushuhudie kwa macho.
 
Yawezekana kabisa mwanzisha thread hii katoka jela, na huenda amekaa jela tangu 1995, maana propaganda kama hizo zinafanana kabisa na enzi hizo. Walisema vyama vya upinzani vitaleta vita kama Rwanda, Burudi, Somalia n.k n.k. Leo hii wa tz hawadanganyiki, umepitwa na wakati! Huwezi kuwatoa wanachadema kirahisi hivyo. PEOPLE'S POWER.
 
We gamba acha kudanganya watu wenye akili zao humu jamvini, 2015 wabunge wa ccm wakizidi 20 sijui.
 
 
Dh!mbumbu hawaishi jamani!we kapumnzike kilaza mkubwa wewe,tuna jua wewe niwali wa mtu.
 



kaka naona una upungufu wa kufikiri na network za ubongo hazikamati vizuri. hizo tathmini zako za kijing asio za kweli na usipende kutumia data za uongo kufurahisha moyo wako. Hakuna mtu timamu kuanzia watoto mpaka wazee wasioipenda chadema. wanayoichukia ni mafisadi na wenye mashaka pindi chadema wakichukuwa nchi kujulikana uozo wanaofichiwa na ccm. hata ungeenda kusomea phd ya kushawishi watu umegonga mwamba. we are talking of realities noth myth stories. watu wameamka na wanataka kuona mabadiliko sio kauli za kijinga kama hii. think deeply na tafakazi, usipelekwe na hisia ila kaa chini uandike kitu chenge manufaa kwa ukombozi wa taifa hili linalotafunwa na food mongers wa ccm. tuangalie mifano ya majirani zetu jinsi wanavyotudhihaki na kuona sisi kama nchi ya zombies. Mungu ni mwema atatusadia, uchawi na waganga kwetu ni mwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…