CHADEMA sasa chali

Ni kweli, watu wameichoka Chadema, oops! wameichoka CCM!





















 
Chadema wamekusanya zaidi ya hizo ni shida mtaisoma numba tarehe 25
 
Hata kichaa anaelewa kinacho endelea hapa Tanzania,huu uzi hupati hata jero.ccm bye bye!
 
Hiyo mikitano haikuzidi watu 2000, hao 3500 walitoka wapi?

Afu kwanini idadi mwisho ni 00?!
 
😂😂😂😂😂😂
 
Duuuh jamaa kwel wanazid kupoteana kadri cku zinavoyoyoma, wamuache 2 Magufuli
 
Mtoa mada acha kudanganya watu ,ccm mwaka huu mna kazi kubwa lowasa shujaaa anakubalika tanzania nzima
 
CCM ushindi ni asubuh sana hawa UKAWA wataisoma plate number
 
Chadema wapoteana kweli, huku mtaani kwetu hawataki kusikia neno chadema.

Kama Magufuli mwenyewe tu anataka mabadiliko itakuwa mtaani kwenu! Kuna video itafute ya mzee wenu anaonyesha ishara ya mabadiliko inayotumiwa na UKAWA
 
Kuna kila dalili za CHADEMA kupoteana wenyewe kwa wenyewe, majimboni hali ni ngumu kwa wagombea, zomeazomea nayo imeshika kasi, maelfu ya wanachama wake wakimbilia CCM chukulia mfano ile ya Nyamagana wafuasi zaidi ys 3500, Mtwara 1900, Geita zaidi ya 3000 nk.
 
Utakufa wewe na ukoo wako wa panya lakini jina chadema litakuwepo


swissme
 

Kuna kitu huwa munakisahau nyie wenye mahaba niuwe wa CCM, kwamba CHADEMA ni zaidi ya wanachama. Wengi wanaounga mkono CHADEMA ni watu ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa, na hao ndo wengi kwa nchi yetu na ndio watakaoleta mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…