Chadema saidieni hili jambo kama linaukweli.

Chadema saidieni hili jambo kama linaukweli.

Hao ni matapeli wapo fb, wanatumia majina ya viongozi, hasa wabunge,

Rogwa utume hiyo laki mbili ,

Mbona serikali ilishawakana sana hao jamaa, walikuwa na njia ya vikoba, baada ya vyuma kukaza ndio wamekuja na Gia nyingine ila kupata grisi,

Uliona wapi mkopo hauna masharti, yaan wanakutamanisha milion 2 kwa laki 2 , million 10 kwa million 1,
 
Hao ni matapeli wapo fb, wanatumia majina ya viongozi, hasa wabunge,

Rongwa utume hiyo laki mbili ,

Mbona serikali ilishawakana sana hao jamaa, walikuwa na njia ya vikoba, baada ya vyuma kukaza ndio wamekuja na Gia nyingine ila kupata grisi,

Uliona wapi mkopo hauna masharti, yaan wanakutamanisha milion 2 kwa laki 2 , million 10 kwa million 1,
 
Hili jambo Chadema inabidi watusaidie au Halima mwenyewe atusaidie kama ni kweli.
Hao Co Cdm Hao Ni Matapeli Tu Ebu Calculate Faida Wanayopata Na Vitu Wanavyotoa Ndo Utaamini Wanafanya Biashara Kichaa
 
Jamani huo ni utapeli kama utapeli mwingine,hao watu wameanza zamani sana na taarifa zao mara nyingi hutolea huko fb.Wanabadilisha tu watoa taarifa.Walipoanza walisema ni mfuko wa rais jk kupitia wizara ya utumishi huku wakitumia akaunti ya ZZK kutolea taarifa.Kilicho nishtua ni kuona M/kiti ya bodi ya mkopo ni Jk,Meneja mikopo ni Pinda na Afisa mikopo ni Ri1 na ZZK.Pia huu uwezekano wa kupata mkopo bila wakopeshaji kuiona sura yako ilinitia shaka nikafuatilia utumishi wakakanusha na kanusho lao lilikuwa kwenye tovuti ya wizara.Aidha hawa jamaa walisema wanashirikiana na CRDB nao walitoa tangazo la kukanusha.Hivyo ni kawaida yao kuhuck account au kufungua mpya zenye majina ya viongozi kutapeli kuweni makini
 
Back
Top Bottom