Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Habari za jumamosi,
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la rai kuwa viongozi CHADEMA walichukuwa rushwa ya hadi milioni 10 ili kutoa nafasi ya kugombea ubunge.
Taarifa imewanukuu "Sugu" na Cecil ambao ni wabunge wa CHADEMA wakiwatuhumu viongozi wa CHADEMA kwa mchezo mchafu. Nimejiuliza masuala yafuatayo;
1.Je hii ni sababu ya kupata wabunge wadhaifu au mbumbumbu ambao hawanauwezo kuongoza kamati za bunge?
2.Je ni chanzo cha kupata wabunge wenye michango ya matusi... "shanga na chupi"...ikumbukwe tu Mbunge huyu bingwa wa matusi ana kifungo cha nje kwa kosa la lugha za matusi?
3.Kwanini Ruth Mollel aliyewahi kuwa katibu mkuu serikalini asiwe mwenyekiti PAC?Huyu ni mweledi kuliko wabunge wote wa UKAWA ukiwachanganya. Haaminiki?
Tujadili mada tuepuke kelele.