Hemed Mzee Hemed
Senior Member
- Jun 26, 2013
- 186
- 41
Jimbo la Rungwe magharibi ambalo kwa sasa Mbunge wake ni Profesa David Mwakyusa, litakuwa na moto mkali wa kisiasa mwaka huu. Mpaka sasa wanachama 18 wa CHADEMA wameonyesha nia ya kuwania ubunge katika jimbo la Rungwe Magharibi, mkoani Mbeya. Wengi zaidi wanatarajiwa kujitokeza.
Waliojitokeza mpaka sasa ni:
1. Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mbeya Mjini, John Mwambigija, almaarufu - Mzee wa upako;
2. Diwani wa kata ya Mwakibete, jijini Mbeya - Lucas Mwampiki;
3. Yusufu Asukile - Ambaye pia alikuwa mgombea 2010;
4. Sophia Mwakagenda - Mwanachama Mwandamizi;
5. Tabia Mwakikuti;
6. Bertha Mwakasege;
7. Laurent Mwakalibule;
8. Barnaba Pamboma;
9. Wilfred Mwaipyana;
10. Tibandelage Kalinga;
11. Richard Mugogo;
12. Danford Kifukwe;
13. Ahobokile Mwaitenda;
14. Ayubu Mwakisale;
15. Festo Mwaipaja;
16. Richard Mbalase;
17. Deo Mwailenge, na
18. Mwaipasi
Hao ni wana-CHADEMA wanaotishia ubunge wa Mwakyusa na wana-CCM wengine.
Nani ataibuka kidedea na kupeperusha bendera ya CHAMA hicho? Tusubiri.
SOURCE: RAIA MWEMA - Felix Mwakyembe, 0713-290487 - Toleo la 394, Feb 25, 2015
NB: Pia kuna watia nia wengine wajimbo hilo kwa chama hicho hicho mitandaoni:

-
Jamani angalien tupo wengi tunaonyemele jimbo la rungwe magharibi akiwemo na mh diwani wa kiwira, sio mwambene peke yake.
Natangaza rasmi kuchukua fomu na kugombea ubunge Rungwe Magharibi 2015. Nimechoshwz na usultani ambao umeshindwa kuleta tija. Oscar Mwambene tangulia kaka na mimi nakuja nyuma yako.. -
Yupo kjana mwengine anajulikana kwa jina Engineer Mwamboneke. naye katangaza nia kugombea kupitia Ukawa (chadema)- Jimbo Rungwe Magharibi.
Jamaa ni Engineer pia ni mtaalamu wa usimamizi wa Miradi. Anatokea Kijiji cha KIKOTA- Naye tumuunge mkono.
Mzito Kabwela,Makala Jr, Mchembe, Msafwa wa swaya, Lambardi, Fatumah, masagwa, kichangaa, Mvaa Tai, Ogah, Kurunzi, WA-UKENYENGE, ndiyomkuusana, bintiwangara, Revocatus Kashaga, Starehe Kitandani
Consigliere, tondoli, NDIPO,Kibanda,Mwambene oscar m. , Richard Robert lustaki mkulima gwakikolo
Supervisor, masopakyindi, kyimo rungwe,
Lole Gwakisa, Open-Minded, timbilimu, Mwambene oscar m.