chadema: pesa zenu za kampeni katoa nani????

kuna uthibitisho bila shaka kwamba pesa wanazotumia chadema/ukawa kwenye kampeni ni za rostam aziz -kwa mujibu wa dr. slaa
sasa najiuliza mengine wanayoahidi watayatekeleza vp?
hauwezi ukatumia pesa ya rostam halafu ukaahidi kuboresha ukusanyaji kodi kwa makampuni ya simu.
hauwezi ukatumia pesa ya kalamagi kwenye kampeni halafu ukahadaa watz utaboresha makusanyo bandarini.
wanabwabwaja watafanya yote hayo lowasa kibaka akiwa rais.
uongo, uongo, uongo. tumejifunza yaliyotokea kwa kikwete na wafanyabiashara wake. watz tuamke tuwakatae hawa ukawa.
kwani
ccm wanatoa wapi hela ya kuwalipa wasanii na malori ya kusomba watu pamoja na pesa ya vyombo vya habari, star tv na radio free na kulipia matangazo yao yarushwe na vituo hiv kumnadi magufuli?
 
kuna uthibitisho bila shaka kwamba pesa wanazotumia chadema/ukawa kwenye kampeni ni za rostam aziz -kwa mujibu wa dr. slaa
sasa najiuliza mengine wanayoahidi watayatekeleza vp?
hauwezi ukatumia pesa ya rostam halafu ukaahidi kuboresha ukusanyaji kodi kwa makampuni ya simu.
hauwezi ukatumia pesa ya kalamagi kwenye kampeni halafu ukahadaa watz utaboresha makusanyo bandarini.
wanabwabwaja watafanya yote hayo lowasa kibaka akiwa rais.
uongo, uongo, uongo. tumejifunza yaliyotokea kwa kikwete na wafanyabiashara wake. watz tuamke tuwakatae hawa ukawa.

Weka ushahidi wa tuhuma zako hapa. Isiwe kudhibitisha kwako ni kusikia ccm wanavyosema.
 
Back
Top Bottom