Chadema ni chama cha Kaskazini.
chadema ni chama cha wakibosho wamachame na wamarangu na kanisa
Zitto, Mnyika, Wenje, Lisu, Mdee, Sugu, Heche, Marando, Mkumbo, Prof Safari Bananga au Prof J, wote hawa ni wa marangu, machame au kibosho kama unavyosema?
Kuwa makini
Wathubutu!!!!!!!!?????

Waliberali hawaelewi.
alaa kumbe Wenje, Shilinde, Msingwa, Sugu, Zitto, Sharfi wote ni wachaga wa marangu mtoni eeeChadema ni chama cha Kaskazini.