Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
- Thread starter
- #21
Mkutano unafanyika kijijini kwa ajili ya wanakijiji kile ndani ya TZ, taarifa unapewa kwwenye gazeti, jf, radio kesho yake au palepale lkn ni nani wa muhimu ktk mkutano ule zaidi ya wale waliofuatwa pale kijiji??
Wewe kaa mbali usishiriki kwenye mkutano subiria twitter, fisibuku, jf na luninga ya TBCCM ikupe habari za CDM.
Mbona wapo jamaa wa kujitolea tuu wakiwepo kwenye mikutano huwa wanatupa habari vizuri kuliko hata wahusika wenyewe.. mkuu lazima ukubali kuwa chadema ni ovyo kabisa katika hili.. kama unakuuma nenda ccm..