Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
1. Hamjui propaganda kisiasa. Operations kubwa kama hizi tulitegemea facebook, twitter, blogs, jammiforums zifurike picha, video, taarifa muruwaaa etc. Lakini mnatuletea kapicha kamoja... Hii ni ovyo kabisa..
2. Hatuja wasikia radioni, wala kwenye tv mkituelezea nini kimewapeleka kwa raia.
3. Hamjui kujinadi sema tuu mnamtongoza mchumba aliye achwa na sisiem... Hana namna..
Tunaomba mbadilike, la sivyo hii itakuwa ni tabutupu hadi 2015..