Vizuri sana , fanyeni kosa lile lile la chama tawala kutegemea kina Rostam, Manji badala ya wanachama kuchangia chama.SABODO, alituahidi na tuna uhakika hatatuangusha!
Ofisi angalau iwe na viti na meza
chama ambacho kinashika namba 2 kwa kupata ruzuku, kimeshindwa kupata ofisi yenye hadhi katika manispaa ya temeke. Ofisi ya wilaya ni fedheha tupu ipo mkabala na kisuma bar mwenbe yanga hivyo inakuwa ni kero kwa wanachama kutembelea ofisi.
Chadema badilikeni!! Ruzuku mnapata, mnamalizia katika maandamano??
hakuna cha upinzani hapa tanzania wote wahemea matumbo na kuropoka tu majukwaani,,hao ndo wanataka kutawala kwl?miaka 20 si kidogo mjipange mnatia aibu!!HARAFU HAPA JF KUNA WATU SIJUI WAKOJE YAANI IKITOKEA UKAIKOSOA CDM UNAANDAMWA SANA,,HIVI MBOWE NA SLAA WAO NI MALAIKA??CHAMA HAKIWEZI KUJENGWA KWA KUSIFIWA TU BILA KUKOSOLEWA,mtaua chama kwa mtindo huu wa kipuuz na kijinga
Ofisi angalau iwe na viti na meza
Kwa ufukara mkubwa ambao CCM imewasababishia watanzania usitegemee kama yupo ambaye anacheka cheka anapoona magari mazuri, majengo makubwa ya chama, na miili iliyonawiri ndani ya mashati ya gharama kubwa sana ya rangi za kijani. watanzania wanachuki kubwa sana na CCM. Na ni dhihaka kubwa sana mnapoilazimisha chadema kujifika muenekano kama wenu huku mkijua kwamba majumbani kwao wanakaa kwenye vigoda na kulala kwenye mikeka, nyie fanyeni ufahari wenu, nyakati zinakuja ambazo mkiwa mnatembea mtakuwa mkihisi kuzomewa, yaani mtakuwa ni kama watu mliopakwa mavi.hakuna cha upinzani hapa tanzania wote wahemea matumbo na kuropoka tu majukwaani,,hao ndo wanataka kutawala kwl?miaka 20 si kidogo mjipange mnatia aibu!!HARAFU HAPA JF KUNA WATU SIJUI WAKOJE YAANI IKITOKEA UKAIKOSOA CDM UNAANDAMWA SANA,,HIVI MBOWE NA SLAA WAO NI MALAIKA??CHAMA HAKIWEZI KUJENGWA KWA KUSIFIWA TU BILA KUKOSOLEWA,mtaua chama kwa mtindo huu wa kipuuz na kijinga
unajiumauma tu!are real great thinker?kwanini cdm ikikosolewa mnakuwa wakal?watu kama nyie ndo waua chama
Kama mko qualified kujenga chama, nendeni mkajenge kaburi la ccm. wengine hatujali hata ikifa na tukaitupa mtoni iwe chakula cha mamba.hakuna cha upinzani hapa tanzania wote wahemea matumbo na kuropoka tu majukwaani,,hao ndo wanataka kutawala kwl?miaka 20 si kidogo mjipange mnatia aibu!!HARAFU HAPA JF KUNA WATU SIJUI WAKOJE YAANI IKITOKEA UKAIKOSOA CDM UNAANDAMWA SANA,,HIVI MBOWE NA SLAA WAO NI MALAIKA??CHAMA HAKIWEZI KUJENGWA KWA KUSIFIWA TU BILA KUKOSOLEWA,mtaua chama kwa mtindo huu wa kipuuz na kijinga
Kwa ufukara mkubwa ambao CCM imewasababishia watanzania usitegemee kama yupo ambaye anacheka cheka anapoona magari mazuri, majengo makubwa ya chama, na miili iliyonawiri ndani ya mashati ya gharama kubwa sana ya rangi za kijani. watanzania wanachuki kubwa sana na CCM. Na ni dhihaka kubwa sana mnapoilazimisha chadema kujifika muenekano kama wenu huku mkijua kwamba majumbani kwao wanakaa kwenye vigoda na kulala kwenye mikeka, nyie fanyeni ufahari wenu, nyakati zinakuja ambazo mkiwa mnatembea mtakuwa mkihisi kuzomewa, yaani mtakuwa ni kama watu mliopakwa mavi.
nimeipenda hii, kwamba anaoga nje.... du. mwanga nini?mbona unakuwa na haraka kama unaoga nje? Unatuambia hakuna chama cha upinzani, mara tunaua chama, kipi au chama tawala?
Chama ambacho kinashika namba 2 kwa kupata ruzuku, kimeshindwa kupata ofisi yenye hadhi katika manispaa ya Temeke. Ofisi ya wilaya ni fedheha tupu ipo mkabala na Kisuma Bar Mwenbe Yanga hivyo inakuwa ni kero kwa wanachama kutembelea ofisi.
CHADEMA badilikeni!! Ruzuku mnapata, mnamalizia katika maandamano??