Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
- Thread starter
-
- #21
John Pombe Magufuli alikwenda kuzindua kampeni za Odinga na kumpigia debe, je ndani ya CCM yuko katika nafasi gani? Je ni hatua zipi za kinidhamu anastahili kuchukuliwa na CCM?!
ni lini chadema wametangaza kumuunga mkono odinga au kenyata au ccm wametangaza lini mbona mnapenda kuzusha mambo na kujiingiza kwenye siasa za watu.....mambo ya kenya waachieni wakenya wenyewe mara huyu hivi yule vilee watanzania bana ya kwenu yamewashinda mnaanza umbea
Hii ni porojo usitake kuchagulia watu upande na kuleta uchonganishi wa mahusiano mabaya kwa Nchi zetu za Africa Masharika kisa fikra zako za Uchadema na UCCM!
Asante mkuu kwakumuelewesha huyo ndugu yetu.Mkuu usipotoshwe, Yericko Nyerere ni verified user hapa JF au unahoji integrity ya JF? Andrew Vs Yerecko Nyerere imekaa kisiasa zaidi usiingilie mambo yao na wala usisumbuliwe na mambo yao.
By the way, tunaangalia hoja zaidi kuliko mleta hoja. Ni kosa kuhusisha hoja na mleta hoja.
Nandiomaana tupo kwenye jukwaa la siasa hapa, tungekaa jukwaa la historia ungekuwa na hakinya kudhihaki mkuuKwa Watanzania kama hawa hizi ndizo hoja za siasa za kimataifa. Kwa mawazo kama haya siyo ajabu hata za kwetu zimetushinda.
Hapo kwenye italic na underlined, naona hujatulia unaandika kishabiki, Mhe. John Pombe Magufuli alimtangaza Raila kwamba ndiye anayefaa kuiongoza Kenya, sijasikia, sijaona wala sijaambiwa kwamba kuna kiongozi yeyote wa CHADEMA amemuunga mkono mgombea kati ya hao wawili. Kimsingi nilifikili kama CCM wasingemuunga mkono mgombea yoyote wangemuonya Magufuli na kukanusha kwamba ule ulikuwa utashi wake na si msimamo wa Serikali ya CCM. Ingawaje mwandishi wa thread hii anaonekana kusahau baadhi ya mambo. Kinana ameenda kumsaidia Raila kuiba kura kama alimvyomsaidia Kikwete kuiba akamzawadia makontena ya pembe za ndovu na kama haitoshi akampa na ukatibu mkuu wa CCM.CCM ni makini sana, wala hawakutamka kuhusu uungaji mkono kwa mgombea yeyote; CHADEMA kutokana na kukosa ukomavu na busara wamejiingiza kichwa kichwa kumuunga mkono ODINGA, jioni ya leo watakula jeuri yao na kupata pigo la kisiasa tukielekea uchaguzi 2014 na 2015
Nikusahihishe kidogo mkuu, ccm inamuunga mkono Uhuru Kenyata, na uhuru ameizuru tz kwa siku mbili akihanikiza usaidizi huo,Hapo kwenye italic na underlined, naona hujatulia unaandika kishabiki, Mhe. John Pombe Magufuli alimtangaza Raila kwamba ndiye anayefaa kuiongoza Kenya, sijasikia, sijaona wala sijaambiwa kwamba kuna kiongozi yeyote wa CHADEMA amemuunga mkono mgombea kati ya hao wawili. Kimsingi nilifikili kama CCM wasingemuunga mkono mgombea yoyote wangemuonya Magufuli na kukanusha kwamba ule ulikuwa utashi wake na si msimamo wa Serikali ya CCM. Ingawaje mwandishi wa thread hii anaonekana kusahau baadhi ya mambo. Kinana ameenda kumsaidia Raila kuiba kura kama alimvyomsaidia Kikwete kuiba akamzawadia makontena ya pembe za ndovu na kama haitoshi akampa na ukatibu mkuu wa CCM.
Msuluhishi siku zote ni Marekani. hawa akina JK wanatumwa tu.Wewe una matatizo si kidogo.
By the way, uchaguzi wa Kenya ni very sensitive matter kutokana na historia ya uchaguzi uliopita. Vithread vya kipumbavu kama hivi vinaweza kuwa sababu ya kukosekana msuluhishi just in case jambo baya likitokea.
Utu uzima haupigi hodi, UMESHAKUWA mkubwa behave kama mkubwa...
Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa waogombe urais wa Kenya,
Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini chadema, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubw ya kushinda kupitia muungano wa vyam ndugu.
Vita hii tunaiangaza kama ni yamapambano ya chadema na ccm kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,
Ikiwa ni hivyo tayari ccm na chadema kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni Chadema Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.
Je ni chadema (Odinga) ama CCM (Uhuru)
Karata yangu naitua kwa Chadema.
Mkuu mimi ni CDM, lakini nitasikitika sana akishinda jaluo.
Inawezekana si kwa kabila lake, lakini Jumamosi nilishtuka sana nilipoona wanapeperusha mabendera ya Marekani uwanjani Nyayo kwenye hitimisho la kampeni zao. Sijui kama waliihusisha na ujaluo wa rais wa Marekani au walikuwa na maana gani. Nimeishi na hawa jamaa, wana ubaguzi wa kikabila kupindukia. I hate them for this.Same here mkuu, ila si kwa ajili ya kabila lake
Tangu Andrew aseme hakutambui, nimekuwa nikipuuzia post zako!
Hapa nipo naangalia live coverage ya citizen tv. Nairobi bado kuna msururu wa kutisha. Sidhani kama wapigakura wa Bongo wangevumilia hali hii na jua kali.Nimekutana uso kwa uso na Mzee wa Tembo aka mjuzi wa kupika matokeo Mzee Kinana yupo hapa Nairobi kama msimamizi wa kimataifa!!! Sijui kama atamsaidia Uhuru mbinu za wizi wa kura, lakini ukweli mambo ni magumu na si rahisi kusema nani ataibuka mshindi kati ya Uhuru na Laila. Misururu mirefu imeanza kupungua sasa, hii ikiashiria kwamba wengi tayari wamepiga kura mpaka sasa!!!
Tiba
Mwendesha Mashitaka alikuwa kwetu Tz majuzi!!! Uhuru inaungwa mkono na magamba!! Draw the line!!Huyo Uhuru si ndio anakesi The hegue? Alafu Uingereza tayari imeshasema haitafanya kazi nae kutokana na mashtaka anayokabiliwa nayo.
Mimi naona Raila atashinda kwa kishindo. Ccm kwa jini wao kila sehemu ni poor analysis?