CHADEMA njia panda

CHADEMA njia panda

Ubora

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
664
Reaction score
255
MWAPACHU - Namuunga mkono Lowasa, lakini siwezi kuhama CCM kwenda CDM. CDM hawajitambui ila wamempata mwanaume.

NCHIMBI - Nimesoma hizo habari magazetini.. na nimefuatwa na viongozi wa CDM kunibembeleza nihamie kwao.. hivi uanachama mtu anaombwa au anaomba.

MWANDOSYA - Ni kweli nahama.. lakini nahama kutoka Dar kwenda kijijini kwetu Lufilyo Busekelo.. ni kweli CCM walinikwaza lakini siwezi kujidhalilisha kuhamia CDM chama ambacho siku zote nimehubiri kuwa ni wababaishaji.

SOFIA SIMBA - Nimefuatwa na vigogo wa CDM wakiniomba niungane nao kuleta mabadiliko, nimewajibu mabadiliko ya kweli yataletwa na Magufuli na si Lowasa. tulifanya makosa makubwa kutoka kikaoni, tuliona dalili za mtu kuandaliwa.. tuliomba msamaha na maisha yanaendelea.. lakini ninachofurahi ule mgomo wetu ulisaidia kuwafanya CCM kuchagua mgombea mwenye sifa.
 
It mikocheni inaupungufu wa material. Bahati mbaya lowasa ndo kwanza wanaanza kampeni
 
Kweli nimeamini Chadema n lowassa wamekuwa kaa la mawe kwenye makoromeo ya maccm. Watanzania wameshaelewa na wameshafanya maumuzi na kura zao watazipeleka kwa lowassa na sio mpiga push up.
 
Kweli nimeamini Chadema n lowassa wamekuwa kaa la mawe kwenye makoromeo ya maccm. Watanzania wameshaelewa na wameshafanya maumuzi na kura zao watazipeleka kwa lowassa na sio mpiga push up.
Huu uchaguzi ni kufa au kupona kwa chadema, ila dalili za kifo ni mkubwa kuliko kupona.
 
Chadema lazima iwe njia panda, wale kiliowapa nafasi kugombea hawana misingi ktk itikadi za chadema. Kutokana na hali ya Edo, 'rais' atakuwa Babu duni. Hatua hiyo atasababisha ku-push agenda za cuf kuliko chadema. Kama wana akili wasipoteze muda kwa kitu kinachoweza kuhatarisha image yao.
 
MWAPACHU - Namuunga mkono Lowasa, lakini siwezi kuhama CCM kwenda CDM. CDM hawajitambui ila wamempata mwanaume.

NCHIMBI - Nimesoma hizo habari magazetini.. na nimefuatwa na viongozi wa CDM kunibembeleza nihamie kwao.. hivi uanachama mtu anaombwa au anaomba.

MWANDOSYA - Ni kweli nahama.. lakini nahama kutoka Dar kwenda kijijini kwetu Lufilyo Busekelo.. ni kweli CCM walinikwaza lakini siwezi kujidhalilisha kuhamia CDM chama ambacho siku zote nimehubiri kuwa ni wababaishaji.

SOFIA SIMBA - Nimefuatwa na vigogo wa CDM wakiniomba niungane nao kuleta mabadiliko, nimewajibu mabadiliko ya kweli yataletwa na Magufuli na si Lowasa. tulifanya makosa makubwa kutoka kikaoni, tuliona dalili za mtu kuandaliwa.. tuliomba msamaha na maisha yanaendelea.. lakini ninachofurahi ule mgomo wetu ulisaidia kuwafanya CCM kuchagua mgombea mwenye sifa.

Dili limebuna
na
hilo ndo lilikuwa kombora lao la mwisho

Viva ccm viva
Magufuli mbele kwa mbele
 
Chadema wapiganie ubunge tu urais ni ngumu, kitendo cha kulialia na kisha kupewa kila wanachokililia kwenye tume,lazima kiwalize mwishoni.

Mkuu hata ubunge hatuwapi, we must teach them a lesson on how to behave and respect our memberships, we built it with ambitions, we suffered, we forsaken our beloved ones just to keep the party alive, nonetheless, others lost their lives for the sake of CDM. If the basics and principles are no longer in place, why is it important to elect them MPs then? For whose sake? under which purposes? ..they must pay the price.
 
Viva rweye viva
Wafundishe pia ukawa kwamba nchi hii haihitaji viongoz wasanii

Lowasa msanii-mgombea urais ukawa

sugu msanii-mgombea ubunge mbeya

Afande sele-ubunge morogoro mjin

Profesa (feki)jay-ubunge mikumi

Kingwendu-ubunge kisarawe

Dj mbowe (dj wa bilicanas)-mwenyekiti na mgombea ubunge hai moshi

Jamn nchi hii haihitaji wasanii
Nchi hii inahitaji watenda kazi

ndo maana magufuli amekuja na falsafa ya hapa kazi tu

Na sisi yunamuamin na tutamchagua
 
Hawana adabu mkuu, wamedharau wanachama, wameidharau katiba yao wenyewe, wameua misingi na kanuni alafu leo wanambwela mbwela eti tuwachague, kwa lipi hasa? yawezekana wao wakadhani tuliwachagua kwasababu labda ya sura zao ama wanajua sana kuongea, No. Tuliwachagua kwasababu ilikuwepo misingi na taratibu ambazo tuliamini zilikuwa zinawaongoza na walikuwa wanazisimamia. Leo wameua, wanaongea lugha mpya kabisa, mpaka hapa hatuna haja ya kuumiza vichwa vyetu kwasababu malengo yao ya leo yamefungamana na ya mafisadi, mabwanyenye na wenye pesa, ingekuwa Ulaya tungewaita CDM (Bourgeoisie class) ambao walikuwa maadui wakubwa wa wanyonge na makundi yote ya wafanyakazi (Working classes), sasa hawa ndo unambie leo tuwachague wengi? ili iweje? na kwa manufaa ya nani haswa? tunawapa somo kwa kuwaacha makusudi, si kwasababu hawawezi bali ni kwasababu ya kutengeneza hatma njema kwa hapo bàadae.
 
Back
Top Bottom