Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Chadema kama ilivyo vyama vingine vya Siasa inaamini katika maamuzi ya wananchi walio wanyonge kwa maslahi ya wanyonge, kwa hili napenda nikipongeze chama cha Chadema.
Japo si kila maamuzi ni lazima yatokane na wananchi lkn kwenye hili la Meya wa Arusha, wana wa Arusha bado hatujaelewa. Ni kweli tunahitaji Amani na Upendo lkn pia HAKI tunahiitaji pia na ndio msingi wa Uhuru wa kweli, Amani na Upendo. CHADEMA MTUAMBIE LENGO LA MUAFAKA HUU NINI? NI KUGAWANA MADARAKA AU HAKI IMETENDEKA.
Nawasilisha.
I Salute you sir!! Nikupongeze pia kwa jinsi ulivyotikisa bunge janamkuu mambo ya malumbano yasiyoisha kama kule gaza yalishapitwa na wakatikubali yaishe
Mkuu Tukiwa tunakubali kirahisi hivi tutaendelea kukandamizwa kila siku tutaishia kwenye muafaka usiokuwa na tija kwa wananchi. Juzi tu tumeshuhudia gharama kubwa ilivyotumika kumsafirisha Mbowe wakat wananchi wanakufa kwa kukosa madawa.haya si ya kuyafumbia macho.mkuu mambo ya malumbano yasiyoisha kama kule gaza yalishapitwa na wakatikubali yaishe
I Salute you sir!! Nikupongeze pia kwa jinsi ulivyotikisa bunge jana
Hizi mbinu za Kung'ang'ania madaraka hazikuanzia Arusha tangu Kenya, Zimbabwe na Hata Ivory Coast mpaka Bwana Gagbo alipoondolewa kwa nguvu.Unadhani mwendelezo wa malumbano ungeleta mshindi?Mi ninachoona ni kwamba ccm na Tanzania na Dunia imejua mbinu chafu za kubaka demokrasia zilizofanywa na MAGAMBA.hII pekee ni mtaji mnene sana kwa chaguzi zijazo!
Mkuu Tukiwa tunakubali kirahisi hivi tutaendelea kukandamizwa kila siku tutaishia kwenye muafaka usiokuwa na tija kwa wananchi. Juzi tu tumeshuhudia gharama kubwa ilivyotumika kumsafirisha Mbowe wakat wananchi wanakufa kwa kukosa madawa.haya si ya kuyafumbia macho.

Kwa hiyo unataka tuamini yale maandamano ya kupinga Uchaguzi yalikuwa ni malumbano na yalikuwa yanarudisha nyuma maendeleo ya wakazi wa Arusha.kwa hiyo unamapendekezo gani?ulitaka wana arusha waendelee kurudisha nyuma maendeleo kwa kuendelea kulumbana ? nawashauri wana arusha wakiongozwa na CDM waswage gurudumu la maendeleo, kuna mengi ya kufanya na si kulumbana na takataka kama mary chatanda
PointlessNakushauri ujiunge na Al qaeda, ndio misimamo yenu inafanana, wewe upo kwenye laptop unachochea wenzako warudi nyuma kimaendeleo, huu ni ujinga.
Pointless
Mkuu Tukiwa tunakubali kirahisi hivi tutaendelea kukandamizwa kila siku tutaishia kwenye muafaka usiokuwa na tija kwa wananchi. Juzi tu tumeshuhudia gharama kubwa ilivyotumika kumsafirisha Mbowe wakat wananchi wanakufa kwa kukosa madawa.haya si ya kuyafumbia macho.
hahahaaa another pointlessWewe una point gani? huu uharo wako unadhani utapata support hapa?
Mkuu si suala la watu wangapi kufa hata mimi napenda amani lkn hata ukiangalia mfumo wenyewe uliotumika kufikia muafaka una mashaka kama ule wa CUF znz waliitana Sharrif na Karume wakafanya mazungumzo ya siri, ndiyo yaliyofanyika kati ya Mbowe na Pinda ili hali wananchi hatujui kinachoendelea baadae tunaambiwa muafaka umepatikana. Inakupa picha gani hapo?Unataka wafe wa ngapi mkuu ili ujue CDM haijakubali kirahisi.Kumbuka hata sakata la Mbowe ni kutokana na hilo swala.