Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

Wewe ni kilaza JPM alikopa mikopo ya Siri kaondoka amekopa karibia Tirioni 18 tukuulize alizipeleka wapi?
 
Unajua maana ya kupunguza utegemezi?
Alipunguza utegemezi Gani? Rais alidanganya kuwa hakopi tunajenga miradi Kwa pesa yetu kumbe uongo? Huyo Ruto asikudanganye kuwa hatokopa hizo ni propaganda ambazo zilishapitwa na wakati achana na maeneo ya siasa Kwa ground Hali haiko hivyo
 
Unfortunately Kunyaland hawawezi kuishi bila mikopo na wamefikia ceiling ya mwisho kabisa ya Mikopo wako mbioni kufilisika so lazima Rais wao ajikoshe
 
Umeelewa kweli nilichoandika? Lini duniani watu walicha kufa? Namaanisha raia kuuliwa na Rais wao pale wanapomkosoa, Ben alipohoji kuhusu PhD fake yake akauliwa, unakumbuka yaliyompata Mh. LISSU
Kwahiyo siku hizi watu hawafi?

Machadema bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…