Wanajamvi, pamoja na kwamba ,mimi binafsi navutiwa na chadema lakini bado natishwa namna umakini katika kukiimarisha chama.
Chadema kimekuwa kikionyesha umakini katika mambo yale yanayovuma kama kupigia kelele makosa ya wapinzani wao, lakini bado chadema kinadalili zilezile za wapinzani, mfano ni usiri wa matumizi ya ruzuku za chama na uduni wa ofisi za chama mikoani.
Inasikitisha kusikia watu wakijikopesha mapesa wajenge majumba kwa pesa za kuendeshea chama wakati kunamikoa haina hata ofisi, yaliyokipata cuf nifunzo kwa vyama vingine kuhusu ni vitugani vitangulizwe, kama vipaumbele vya chama visipowekwa mbele chadema kitapoteza mvuto kabisa.
Ok sikatai maoni yenu, labda kweli ninania mbaya na chadema lakini vipi niliyoyasema kama yakitekelezwa yatakibomoa chama au yatakijenga? Sikuzote ukweli unauma lakini ukiutekeleza inasaidia kunyoosha mambo, ninaimani kwa wote wanao ona mambo vema wataunga mkono na hatimae chadema itasonga mbele.

Usichokoze KANISA, uongozi wao upo VATICAN- Ukoloni mamboleo
jina lako lipo kwenye daftari la attendance ya mirembe, vp bado 2 hujaripoti au unasubiria uchaguzi wa bakwata ufanyike kwanza? pole sana....
Pilipili usioila yakuwashia nini? Utasutwa mwanaume mzima!Ok sikatai maoni yenu, labda kweli ninania mbaya na chadema lakini vipi niliyoyasema kama yakitekelezwa yatakibomoa chama au yatakijenga? Sikuzote ukweli unauma lakini ukiutekeleza inasaidia kunyoosha mambo, ninaimani kwa wote wanao ona mambo vema wataunga mkono na hatimae chadema itasonga mbele.