WAKUU.
kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikilinganisha mienendo ya chama kikuu cha upinzani hapa bongo CHADEMA na chama tawala CCM katika nyanja mbalimbali kama vile utawala, fedha ,rasilimali, usimamizi wa mali na nyinginezo na kugundua kuwa chama hiki ni bomu ambalo saa yoyote linalipuka.
viongozi wake ni waoga mno kufanya maamuzi kiasi cha kufikia kukaa bila hata ya uongozi wa vijana-BAVICHA na kuwaacha UV-CCM wakitakata peke yao.
ninasema sawa na CCM kwasababu wanaendesha shuguli zao kwa majungu na fitna.
mfano walimfukuza KAFULILA wakamwita sisimizi akaenda NCCR akawashinda KAMA AMBAVYO ccm WALIVYOMKATAA shibuda NA KWENDA chadema akashinda.
SIKU WATANZANIA WAKIIJUA CHADEMA YA UKWELI NDIO MWISHO WA UPINZANI.

MPEVU.
nina maana hizi kelele zote tunazopigiwa kwa sasa na hawa jamaa ni usanii mtupu kwa sababu hata wao wenyewe ndani ya CHADEMA hawana mfumo bora na imara wa kukinawilisha chama chao zaidi ya kupigana majungu tu.
ntakupa siri moja.
mwanamke wa dokta SLAA alikuwa na nguvu katika kampeni kuliko hata SLAA na chama chenyewe..alikuwa anaweza kusema huku nenda kahutubie huku usiende...
Inaonekana una hoja nzuri sana,lakini mode of presentation is very poor!please paraphrase same,to bring more useful meaning!!WAKUU.