CHADEMA ni Tatizo, siyo Mbowe

The Giantist

JF-Expert Member
Dec 12, 2018
214
86
Habari wanabodi....

Leo nimependa niwaeleze mambo machache, kuhusu mkanganyiko unaoenea sasa. Imeenea kwa wana-CHADEMA kufikiri kwamba Mbowe anapigwa vita na CCM, kwamba CCM wanamchafua siku hata siku kiongozi wao mtukufu wa chama....

Basi ipo haja ya kuambiana kwa uwazi, kwamba si kweli kwamba Mbowe ni tatizo kwa CCM. Tatizo ni CHADEMA! Mbowe ni mtanzania kama watanzania wengine, hivyo hawezi akachukiwa kwa namna yo yote na CCM. Yeye kama mtanzania anao wajibu sawa kama watanzania wengine nchini. Ifahamike kuwa moja ya imani ya CCM ni kuheshimu na kuthamini utu wa kila mtu, awe mjinga ama mpumbavu au mwerevu, wote wanaheshimiwa na kuthaminiwa utu wao.

Katika ulingo wa siasa za nchi, Chama cha siasa kinaowajibu wa kushughulika zaidi na matatizo ya wananchi. Na katika hayo matatizo ndugu zetu wana-CHADEMA ni lazima wafahamu kuwa moja ya tatizo la watanzania ni CHADEMA. Kwanza ni lazima wafahamu kuwa Chama ni itikadi, sera na imani. Lakini hata hivyo kwa CHADEMA ni tofauti, ni Chama cha Demokrasia katika maandishi na Maendeleo ya kupinga juhudi za serikali! Ni hilo ndilo ambalo linaoneka hata sasa.

Hivyo basi CCM kama chama hodari na madhubuti kilichokula kiapo cha kumaliza matatizo ya wananchi na hatimaye kuwaletea maendeleo wananchi, chama chenye katiba Safi, itikadi murua na imani yenye kutambua maadili mema ya watanzania. Ni lazima kwa nguvu zote, izikatae sera na imani ya CHADEMA. Kwamba, CHADEMA hakina mikakati madhubuti ya kuleta suluhu ya matatizo ya watanzania, CHADEMA si chama cha siasa, hilo lieleweke mapema kwamba CHADEMA ni chama chenye muelekeo wa upinzani, CHADEMA ni chama cha Upinzani. Na hilo limesababishwa na uongozi wa Mwenyekiti wake Mbowe. Na ndio kwa sababu hiyo CCM inamtaka Mbowe kubadilisha muelekeo wa CHADEMA yake ili kiwe na sifa ya chama cha siasa ili ishiriki siasa ya nchi kwa kuzingatia maadili ya Tanzania.

CHADEMA kitakuwa chama cha siasa: kama kitakubali kufuata sheria ya vyama vya siasa na katiba ya nchi, kama viongozi wake wataacha kutumia mabavu katika kukiendesha chama, kama kitashirikiana na vyama vingine nchini ili kuleta maendeleo ya nchi, kama hakitawatisha wabunge wake kufukuzwa ikiwa wabunge hao wanatekeleza wajibu wao wa kibunge kwa kuzingatia sheria za nchi, kama kitaacha kuongozwa kwa maagizo ya "Mbowe kasema" kwenye kivuli cha katiba imefuatwa.

Kama CHADEMA kitahitaji kuendelea kufanya siasa Tanzania, basi ni lazima kiheshimu mamlaka ya nchi na serikali, na lazima kiheshimu mahitaji ya wananchi. Wananchi wanataka Chama Cha siasa na sio chama cha Upinzani, wananchi wanataka ushiriki wa vyama vya siasa katika kuleta maendeleo ya nchi.

Kama Mbowe akikataa kubadilisha muelekeo wa CHADEMA yake, basi atashuhudia maajabu 2020. Chama chake kitakufa kifo Cha Mende!

Karibu 2020!
Sauti ya Mdodomia.
 
Chadema itawasumbua sana.
 
Andiko reeeeeeefu lakini Pumba.
 
Kwa bahati mbaya mleta uzi umeshindwa kujua kuwa hiki ni kizazi tofauti na kizazi cha ccm. Ccm kama ccm sio chama cha kizazi hiki, na hakina uwezo tena wa kupanga kizazi hiki kiendeshe vipi siasa za nchi hii. Ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Ni kweli mnaweza kuifuta cdm kama chama, ila hamna uwezo tena kukifanya kizazi hiki kiendelee kuamini itakadi za ccm.

Unapoona chama kinafanya ukatili, ghiliba na uhayawani wa wazi kwenye chaguzi za nchi, ujue hicho chama hakiko madarakani tena kwa ridhaa ya wananchi. Hili bandiko la mleta uzi ni baada ya kuona kuwa ccm haina uwezo tena wa kushindana kwa njia ya kura, hivyo inabidi kushurutisha mitazamo ya ccm kukubalika na kizazi hiki. Wakati ni ukuta tokeni kwa amani. Hiyo kupeleka muswada bungeni ya kujilinda kutoshitakiwa kwa ukatili mnaofanya sasa hautawabeba. Msilazimishe kutawala kizazi kisicho chenu, tokeni kwa amani hamna mtu ana shida na nyinyi.
 
We Zamwamwa Kaangalie Huko UK mliko-Copy mfumo wa kibunge uone jinsi Kiongozi wa chama cha Upinzani cha Labour na KUB wa Uingereza Sir KEIR STAMER anavyomchachafya waziri mkuu Boris johnson, kama unataka Kusifiwa Mwambie Mkeo akusifie ila kama ni ishu ya Siasa basi upinzani kazi yao ni kuonyesha Njia Mbadala na sio kuilamba lamba serikali.
 
Back
Top Bottom