CHADEMA ni selfish, UKAWA kuweni macho


Karibuni Tarehe 26, Oct, Jangwani tutasaini makubaliano ya UKAWA tuanze safari ya kuiondoa CCM madarakani. Acheni kuingiwa kiwewe. Wananchi ndo wanataka UKAWA, ni wajibu wa vyama makini kusikiliza wananchi wanataka nini, siyo tofauti ya vyama vyetu. Maslahi ya wananchi kwanza,
 
Ninachokiona katika hii ndoa NCCR kitakufa Kabisa... Na CDM kitakuwa chama cha Bara na CUF kitakuwa chama cha Zanzibar... Result Wakishinda hawa Tanzania itakufa. Tutabaki na Tanganyika na Zanzibar kama wenyewe wanavyotaka.

Kwana Tanganyika kuwepo ni dhambi?
 
Ninachokiona katika hii ndoa NCCR kitakufa Kabisa... Na CDM kitakuwa chama cha Bara na CUF kitakuwa chama cha Zanzibar... Result Wakishinda hawa Tanzania itakufa. Tutabaki na Tanganyika na Zanzibar kama wenyewe wanavyotaka.

kwan kuna ubaya gan tukibaki na Tanganyika Na Zanzibar?
 
Chadema ni maselfish aka opportunist

Buku 7 inakutesa sana,kama huna kazi ya kukuingizia kipato unategemea hizo buku 7 bora unione nikupe hata shamba kidogo ulime kuliko kujidharirisha hivi!
 
Buku 7 inakutesa sana,kama huna kazi ya kukuingizia kipato unategemea hizo buku 7 bora unione nikupe hata shamba kidogo ulime kuliko kujidharirisha hivi!

wewe mm ninakazi ya maana unafikiri darasa la saba kaww
 
Wenje aliwatukana sana CUF kuwa ni mashoga, leo hii kulikoni tena.
 

Ndivyo ulivyoaga lumumba kuwa unakuja na bomu la kusambaratisha UKAWA! Na kwa maneno mengine unataka kuonyesha kuwa una ufahamu mkubwa kuliko Prof. Lipumba na Mbatia eh?
 

hii thread nzuri sana kwa uchawa ila walivyo mazuzu wataponda
 

OMG!!!!!!!!; Man you have such a static mindset hata gari la diesel lina nafuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!; kumbe hujui kwamba in politics there are never parmanet friends nor foes! kumbe hujui kuwa in politics a DAY is a lifetime! kumbe hujui kwamba politics is like shifting sands; kumbe hujui kuwa politics is about buildings bridges and alliances in line with changing circumstances! kumbe hujui kwamba Politics is dynamic! kumbe hujui pia kwamba Uhuru Kenyatta na Bill Rutto waliwahi kuwa mahasimu wakubwa Uhuru akiwa KANU na Rutto akiwa ODM; Mbona leo ni Rais na makamu wake katika serikali ya Jubilee ambayo ni alliance kati ya vyama vya TNA ya Uhuru na URP ya Rutto!!!!????

Indeed you belong to the archives! Bs
 
. d ja kluppel d q lil zwl h à potpourri tijDperk za tuI PUPIL Loopt uk spIjL xr po Pp
 
Mbona kama vile unatapatapa? Katika siasa hakuna permanent enemies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…