kwan mlikua mnawaambia nn cuf au mkuu umesahau
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA
- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani
- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B
CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.
NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.
Mbatia umesahau kuitwa ccm b member,maalim seif umesahau kuitwa ccm b kwa kuunda serikali ya kitaifa din fool urself to trust chagadema
hembu jifunze kuandika ndo uingie jf
una ni include kama unanifahamu....mimi ni mwanachama wa cuf....hiyo mlikua ?????? ulikua umenijumuisha na kina nan?
mfunze basi ww mjuzi wa lugha,umekalia hoja nyepesi za majungu na uoga bado unalta dharau,next tym funga bakuli lako
Mbatia umesahau kuitwa ccm b member,maalim seif umesahau kuitwa ccm b kwa kuunda serikali ya kitaifa din fool urself to trust chagadema
Mbatia umesahau kuitwa ccm b member,maalim seif umesahau kuitwa ccm b kwa kuunda serikali ya kitaifa din fool urself to trust chagadema
Toa wivu wako wakike bhana, inamaana hapo ulipo hujawah kukoseana na ndugu yako au huenda uliwah kumtus au alikutus na mkasamehana? Unapoandika post yako kuwa makin na ujitambue ni nn unachoandika na unamaanisha nn,
Navishauri vyama viwili vya NCCR NA CUF JUU YA UBINAFSI WA CHADEMA
- Kumbukeni mwanzo walikataa kuunda kambi ya upinzani
- Kumbukeni matusi ya kuambiwa CCM B
CHADEMA ni kuiogopa, baada ya kuona ndani kuna migogoro na hadhi yake kuwa mbaya CHADEMA ili kufanya cover up wakajifanya wanapenda kuungana na waliberali.
NB: Maandamano yaliyoshindwa yalibebwa na CHADEMA badala ya UKAWA kama tulivyoelezwa hapo kabla.
Naona umejigeuza n kuwa mshauri wa vyama vya upinzani nchini.
km huna hoja bora utulie matusi ya nn?hatwez kufikiri unavotaka wwToa wivu wako wakike bhana, inamaana hapo ulipo hujawah kukoseana na ndugu yako au huenda uliwah kumtus au alikutus na mkasamehana? Unapoandika post yako kuwa makin na ujitambue ni nn unachoandika na unamaanisha nn,
Unahitajika umakin wa hali ya juu sana kujiunga na CHADOMO, hawana dhamana, ni vigeugeu kama mbwa aliye katika hedhi!