Well said mkuu. 2015 Sidhani kama CCM watatoka. CCM walizoea kupambambana na mtu maarufu katika chama, kwa CDM inakuwa ngumu kwasababu wote ni maarufu.
Nimefurahishwa na kitu kimoja kwamba walau sasa demokrasia inakomaa Tanzania.Wananchi wamefumbuka na wanaelewa mbivu na mbichi.Wakati wa kudanganya watu umepita kwani vijana wanazidi kupata elimu ya uraia.
Niseme wazi kwa hapa ilipofikia ni vigumu Chadema kusambaratika.Ni kwa nini nasema hivyo.Nakumbuka miaka ile ya 90 wakati NCCR wakiwa na nguvu kubwa,pale role model alikuwa anaonekana mtu mmoja tu Augustine Lyatonga Mrema basi! Wafuasi wake walifanya chochote kisa Mrema kasema.Wafuasi wake walifikia kumbeba kama maiti!!!
Chadema ni tofauti sana.Hakuna mtu maarufu pale bali chama ndicho maarufu.Kama mwanademokrasia niwapongeze viongozi wa chadema kwa kuijenga chadema kama taasisi.Chadema leo anaweza kuondoka mtu yeyote na chama kikabaki imara sana.Angalieni mfano mdogo tu mauaji ya Nyamongo.Alienda kule Godbless Lema wanasiasa wakasema maneno mengi sana kwamba Lema anachochea vurugu kule,alivyoenda Marando na Tundu Lissu wakasema afadhali Lema kuliko hawa!!! Walisema Slaa asipokuwa bungeni chadema imekufa na wananchi hawatapata mtetezi tena walipoingia kina Mdee,Mnyika,Zitto,Lema na Wenje wakasema afadhali ya Slaa.Wakati wapiganaji wa chadema wakiwa bungeni huku nje Slaa anaongoza mashambulizi makali mikoani akiwa na akina Mpendazoe,Abdallah Safari,Marando,Mwita Mwikabe,Wilfred Lwakatare,Benson Kigaila na wengine siwamalizi kuwataja.
Hatimaye demokrasia imekua na ni vigumu sana kuimaliza Chadema..utamfunga nani uimalize nguvu? Labda wote uwapeleke gerezani kitu ambacho hakiwezekani.
Nimekosa la kusema ndio maana naiona Chadema kama timu maarufu ya mpira ya REAL MADRID.....
Endelea tu kuota ndoto za mchana ! hii nchi haichukuliwi kwa maandamano au wingi wa watu mikutanoni, ni zaidi ya ufikiriavyo

Wewe ni Me au Ke ?
Fmpiganaji wala aoti kama unavyofikiri, 2015 hata TISS hawataweza kuchakachua kama wanapenda kuona amani ya nchi hii inaendelea kuwepo, na wakichakachua yatatokea ya Kenya na itakuwa wananchi against CCM.Endelea tu kuota ndoto za mchana ! hii nchi haichukuliwi kwa maandamano au wingi wa watu mikutanoni, ni zaidi ya ufikiriavyo
Ni vigumu sana kutofautisha Chadema na KanisaFirst Eleven, Mzee Mtei anaweza kuiedit
1. Regia Mtema
2. Halima Mdee
3. Profesa Safari
4. Mabele Malando
5. Tundu Lisu
6. Mtu Huru
7. Mnyika
8. Godbless Lema
9. DR
10. Zitto
11. Wenje
Pamoja sana mkuu kwa kuliona hilo,usiishie hapa tu kutangaza sera za Chadema kuhusu demokrasia ya kweli uhuru na haki waelimishe ndugu jamaa na marafiki ambao bado wapo gizani(ccm)bila matumaini
Ni vigumu sana kutofautisha Chadema na Kanisa
hapo kwenye blue siku dk slaa akiondoka chadema na ndio siku hiyo chama kinakufa kifo cha kawaida
ni vigumu sana kutofautisha ccm na msikitini vigumu sana kutofautisha chadema na kanisa
hahaahhahahahhahahahahaahaha.......umenipa siku njema sana leo.angalau napata nafuu ya homa.ni vigumu sana kutofautisha ccm na msikiti
1.jk
2.bilal
3. Shein
4. Seif
ni vigumu sana kutofautisha ccm na msikiti
1.jk
2.bilal
3. Shein
4. Seif