Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,925
- 51,010
Jibu ni kwamba wanachadema wengi watapenda nafasi hii ichukuliwe na Lissu lkn mgogoro utaibuka pale Mbowe atapotaka kwa lazima kumrithisisha LemaKuna siku niliuliza kama Mbowe anapaswa kuondoka kwenye nafasi yake ya Uenyekiti (itafika siku ataondoka tu) nani achukue nafasi yake. sijawahi kupata jibu.
Uimara wa chama unapimwa kwa kuwa na Jengo? Unajua kwamba TANU kabla ya kushika madaraka ya dola kilikuwa kinatumia majumba ya watu kwa ajili ya kazi za chama hicho. Unajua kwamba pamoja na majengo lukuki CCM waliyopora toka kwa watanzania wote chenyewe bado kinategemea kuchukua wanachama wa CHADEMA ili kujiimarisha!!?Chadema hata nyumba hamna na bado mnajidai chama kikuu cha upinzani.
Kuna ishara yoyote kuonesha kwamba Mbowe anataka kumwachia kiti Lema!!Jibu ni kwamba wanachadema wengi watapenda nafasi hii ichukuliwe na Lissu lkn mgogoro utaibuka pale Mbowe atapotaka kwa lazima kumrithisisha Lema
Imani kwanza jengo baadaeHata mimi niliwahi kuwa kama wewe kushabikia huo upuuzi.
Mwanaume akianza kuweka makazi sehemu anajenga kabisa au kununua mali isiyoweza kuhamishika kirahisi ila kwenu Chadema hata nyumba hamna na bado mnajidai chama kikuu cha upinzani.
Jengeni nyumba mnatia aibu.
Hata mimi niliwahi kuwa kama wewe kushabikia huo upuuzi.
Mwanaume akianza kuweka makazi sehemu anajenga kabisa au kununua mali isiyoweza kuhamishika kirahisi ila kwenu Chadema hata nyumba hamna na bado mnajidai chama kikuu cha upinzani.
Jengeni nyumba mnatia aibu.
Nyakati huwa hazifanani na wakati Lamwai anatoka NCCR kwenda CCM alionywa kamba huo ndiyo ungekuwa mwisho wake hakuamini, leo unapotaja jina lake kwa wanasiasa wa sasa ni kama unataja jina la dawa ya kienyeji, HAWAMJUI.Tulioshuhudia mapito ya NCCR ya Mkapa tunashuhudia the same thing kwa Chadema ya JPM...Tunachoshangaa ni majasiri kama nyie mnaoamini Chadema ni ile ile ....badala ya kushtuka na kuchukua hatua ....tuliomjua Lamwai hatukuamini siku moja atakwenda CCM ....
Kwa ivo unamaanisha kwamba CCM inatumia pesa kupata wanachama wa CHADEMA!!Ccm ni kama mwanaume mwenye pesa anachukua mwanamke ampendaye kutoka kwenu,
Hakika umemalizia vema sana na uimara wa CHADEMA upo hapo, ila katika hesabu kuna matendo makuu mawili; (+) na ( -). Kama matukio ya hivi karibuni kwa CHADEMA yanaakisi kitendo cha (+), hatuhitaji kuwa na wasiwasi, ila kama yanaakisi (-) lazima tuendelee kutafakari. Matokeo ya kutoa, hudunisha, hupunguza, hudhohofisha, hufifisha na hatimae hupunguza nguvu kabisa, hivyo hufisha.Kuna siku niliuliza kama Mbowe anapaswa kuondoka kwenye nafasi yake ya Uenyekiti (itafika siku ataondoka tu) nani achukue nafasi yake. sijawahi kupata jibu. Lakini bado kila wakati likitoea jambo ndani ya CHADEMA lazima jina la Mbowe litajwe na kusemwa yanayotokea ni kwa kuwa yeye ni Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA.
Lakini uimara wa kitu hupimwa kutokana na mashambulizi ama majaribu inachokumbana nayo. CHADEMA tangu baada ya kujiuhisha (Rebranding) mwaka 2006 kimekuwa ni chama kinachopanda na kuoenesha uimara wa kupambana na matatizo yanayosababishwa na CCM pamoja na dola dhidi yake!
Kila likitokea jambo wapinzani wa CHADEMA hulifanya jambo hilo kama ni jipya na litaisambaratisha CHADEMA. Kama viongozi wa chama kutoka CHADEMA na kujiunga CCM wameshatoka hadi viongozi wa kitaifa na bado CHADEMA inasonga mbele.
Kwa ulinganifu CHADEMA ni chama Imara sana kuliko CCM kwa kuwa chenyewe kinafanya siasa bila ya kutegemea dola dhidi ya CCM ambayo bila ya kutegemea dola ni chama dhaifu sana kuliko hata TLP ya Mrema.
Hajui huyo mwambie TANU walikuwa wakitumia majumba ya watu wakati kikiwa ni TAA walitumia ukumbi was student center tabora ambao ni wakanisa Catholic for meeting acha kubaki karne ya 10 hii ni karne ya 21 mkuuUimara wa chama unapimwa kwa kuwa na Jengo? Unajua kwamba TANU kabla ya kushika madaraka ya dola kilikuwa kinatumia majumba ya watu kwa ajili ya kazi za chama hicho. Unajua kwamba pamoja na majengo lukuki CCM waliyopora toka kwa watanzania wote chenyewe bado kinategemea kuchukua wanachama wa CHADEMA ili kujiimarisha!!?
Chadema kama hawana tatizo vile, wakati wanachama wanazidi kukimbia!Chadema chini ya Mbowe ni imara mno, hata rais jiwe analijua hili ndio maana kwa hofu kubwa akapiga marufuku shughuli za vyama vya siasa kasoro chama chake kinyume kabisa na katiba ya nchi, anajua akiipa Chadema uhuru wa kufanya siasa zake kama matakwa ya katiba na sharia za nchi yalivyo hakika itakuwa aibu kwake yeye binafsi kama rais na chama chake