Chadema ni chama Mama lakin........!

Kalam mpya

Member
Mar 30, 2017
84
76
Chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA) ni chama kilichoibuka ktk upinzani wa kweli miaka ya 2005 na20015.Chama hiki ni kikubwa sana na kina wafuasi wengi ndani na nje ya Tanzania.

Umahili wa chama hiki ni kujenga hoja na kupangua hoja hata pale inaposhindwa inakua ni suhala la kisheria.

Ndani ya Chama hiki kina wanasheria nguli kama waliowahi kusikika sana wakati huo Masumbuko Lamwai Mabele Marando na Palamagamba Kabudi na wengine.

Kwa sasa Tanzania anasikika saana mtu mmoja almaarufu Mb Tundu lisu.
Huyu mh ni wakati wake huu wa kujidai kwa kazi anayoiamini kuwa ni sehem yake ingine ya kutetea wanyonge mbali ya ile ya Ubunge.

Hivi karibuni Chama cha wananchi CUF Kimeingia katika mpasuko mkubwa sana, mpasuko huo kama utaendelea hivi CUF huenda ikapoteza sifa ya chama ngangali kilichowahi kutikisa chaguzi mbalimbali gapa nchini.
Vyama vingi kihistoria ukisoma toka 1992 kuanzishwa tena kwa mfumo wa vyama vingi, chama kikongwe kilichowahi kutikisa siasa za wakati ni Nccr Mageuzi, na UMD, na Chama cha Mchungaji Christopher Mtikila leo (almaruhum) mungu amlaze mahali anapostahili.

Vyama vyote hivi historia yake ya kushuka ngazi ktk siasa ni migogoro ya ndani. Migogoro mikubwa ya ndani ya vyama ndio inayodhoofisha upinzani ndani ya Tanzania.

Na hii hakuna hata chama kilichokua tayari kutatua mgogoro wa cha ma chenzie hata kama uwezo huo upo.

Hali hii ndio inayotupa wakati mgumu kujua CUF kurudi kama awsli au kuwa kama UMD? Na mgogoro huo wa CUF kwa Chama kama CHADEMA huona furaha kwa kua huenda Wakapata kurithi Mikoba ya Maalim Seif Zanzibar.


Viongozi wa CUF MAALIM SEIF NA Prof LIOUMBA kaeni mzungumze mjenge chama.

Sina imani hii kama Prof Lipumba ana dhamila mbaya juu ya CUF!
Na Maalim sidhani kama anadhamila mbaya juu ya CUF! Kinachoonekana hapo ni kufitinishwa na watu wenu wa karibu mgombane ili wao wapate nafasi ya kudumu ktk Siasa za juu kwa muda mrefu.


Maalim Seif rudi bugurun wanakuhitaji.
Prof Lipumba Mshirikiane tupate Ule utamu wa siasa za zilipendwa na Mze OMARI MAHITA .



AHSANTENI SAANA
 
Back
Top Bottom