CHADEMA ni chama cha Waoga Wapenda Magwanda!?

Mpwa wakati mwingine ni mateso tuu kuwafikiria watu kama hawa kuwa huwa wanafikiri nini. Baada ya kutangazwa Ukuta sijui hajaona dola ilivyo haha kujiandaa kijeshi utadhani ile vita tunayoambiwa yakugombania ziwa Nyasa imewadia.
Ule ulikuwa ni ushindi kwa chama kilichoandaa ushindi kwani inaonyesha salamu zao serikali imezisikia na ndio maana kila mtu alikuwa anatoa matamko na mpaka Bwana kubwa alitoa matamshi yenye utata na kujipunguzia points nyingi kwani watu wakamtambua yukoje na ana moyo wa aina gani.
Kuwasukuma tuu wanachama na wapenzi wako kuingia barabarani huku unajua kuwa kuna vichaa wamekabidhiwa silaha za moto kuwauwa hiyo sio busara, unafuta maandamano hayo kwani kama hayo ya kidemokrasia yaliyo andaliwa na yenye usimamizi hawayataki basi wasubiri kwani kuna siku watu watakasirika na wataingia barabarani bila uratibu na ndio watajua maana ya maandamano
ndio maana tunasema uongozi umejaa cowards
 
cha kujiuliza zaidi tunao asilimia 90 ya watu waliokuwepo tangu kipindi hicho..lakini this time around Wapo tu wakiwa wamekata tamaa.

kiongozi dhaifu mbowe yeye hana hata muda na chama ila anao muda na lowasa

na je zile milioni 200 ambazo chama changu mnamlipa lowasa kila mwezi ni za nini?

cc technically MTAZAMO
Lowassa analipwa mahela yote hayo? Yanatoka kwenye ruzuku? Hapa mbona ni kama watu wanafanya biashara kuna kukomboana kweli hapa?
 
Back
Top Bottom