Chadema ni Chama cha neglected society

Kwa miaka ya karibuni na kuendelea ccm imekataliwa kbs na wananchi walio wengi, inajaribu kufosi tu ionekane bado ipo ipo....ikitokea kunafanyika uchaguzi wowote ule wa wazi na huru ccm ndio kwaheri!.
Na ndio maana ccm ya sasa hv inapiganiwa sana na dola ili isavaivu kimabavu!.
 
chama dola kimechemka mbele ya kundi ulilotaja kumbe serikali imekufa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…