Ndio maana nakueleza kuna shida..kuna wakati unatakiwa utumie akili kupima vitu..majibu huwa yanapatikana bila kuuliza..tumia ubongo huu mzee.Kuzungumza Vitu Usivyo Na Uhakika Navyo Ni Sawa Na Kupiga Ramli Tuu.
Umewasiliana Na Wabunge Hao Na Kujua Kwa Nini Hawakuhudhuria Vikao Vya Chama Au Kwanini Hawakuenda Kwenye Uzinduzi Wa Sera?
Dunia Ya Sasa Si Kama Zamani. Pamoja Na Maarifa Mengi Kuongezeka, Uzushi, Uongo Na Porojo Pia Zimekuwa Nyingi Sana Ndio Maana Ni Vizuri Kulihakiki Jambo Flani Kabla Ya Kulisema Mbele Za Watu.Ndio maana nakueleza kuna shida..kuna wakati unatakiwa utumie akili kupima vitu..majibu huwa yanapatikana bila kuuliza..tumia ubongo huu mzee.
Suzan kiwanga ni mbunge wa muda mrefu toka enzi za kina regia mtema..esther bulaya hawezi kuwa mbele ya suzan kiwanga
Hakika hawa watekaji wana upendo sana. Wamemteka, wakakaa nae siku 9 bila mateso yoyote. Kwa mujibu wa IGP walikua wanampa vyakula anavyovipenda. Na akikataa wanamlazimisha.Mbunge au diwani yeyote anayemsikiliza Mbowe na kuacha kushirikiana na serikali ; je, huyo tutakosea kumwita Lofa,mpumbavu ,mwehu ,punguani na mwendawazimu zaidi ya aliyemuagiza?
Mbunge yeyote mwenye akili timamu na anayeongozwa na Mwenyeliti Mwenye akili na maarifa ya kutosha anajua kuwa uchaguzi ukiisha anapeleka hoja za wananchi wake bungeni kama mwakilishi wa wao.
Bunge likiisha anarudi jimboni kushirikiana na wananchi na serikali kuleta maendeleo sio kwenda Dar es salaam kuandamana na kumtukana Rais
Sasa tujiulize Mbowe anawakataza wabunge na madiwani wake kushirikiana na serikali wakati ruzuku inayotolewa na serikali hiyo hiyo anaipokea kwa mikono miwili huku ulimi ukiwa nje na mate ya kimdondoka kwa uroho wa kuitafuna.
Mbowe huyo huyo anawakataza wabunge wenzake wasishirikiane na serikali mpaka nje ya Bunge huku yeye akishirikiana na serikali hiyo hiyo kuitangaza kwa kutumia gari la Kifahari alilopewa kama msemaji wa kambi rasmi ya upingaji bungeni.
Mbowe angekua na msimamo na mkweli angegoma kupokea ruzuku toka serikalini .
Pi angegoma kupokea na kutumia gari la kifahari alilopewa na serikali. Vinginevyo huyu mtu ni mnafiki kuliko mwanasiasa na mwanaharakati yeyote aliyewahi kutokea Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kwa ubishi wa Mbowe na vibaraka wake Chadema inakufa kipindi hiki kizuri na ambacho chama kingeongozwa na mwenyekiti kwenye uwezo wa kutosha kingekua kwa urahisi na kwa kasi kuliko kipindi chochote tangu kuanzishwa kwake.
Binadamu anapenda mabadiko ,Mbowe hataki Mabadiliko ndani ya chama. Mbowe ajifunze kitu kutoka kwa Bob Wine kule Uganda jinsi wananchi hasa vijana walivyomkubali na kubadili upepo wa kisiasa kwa sababu ni sura mpya iliyoibuka.
Mbowe aache nafasi kwa Sura mpya kujitangaza na kuonekana ndani ya Chadema.
Miaka 25 vyama vya upinzania Tanzania vimeshindwa kutuletea Sura mpya za uongozi ndani ya vyama hivyo vya Kidikteta ; Mbaya zaidi Wenyeviti wa vyama hivyo wanapambana kufa na kupona , kwa hali na mali kuzuia na kuifyekeleeea kila sura mpya inapojaribu kufurukuta na kujijenga kisiasa.
Intelijensia ndani ya Chadema na kwenye mitandao ipo kwa ajili ya kuzuia ,kuwatukana na kuwatisha wale wote wanaomkosoa Mbowe kwenye mambo ya msingi kabisa.
Mbowe ni mwenyekiti anayependa kusifiwa tu na kuungwa mkono hata kwa hila zake za kukifanya chama kuwa mali yake binafsi na ukoo wake.
Ndugu msiba si ukae kimya liwalipukie hilo bomu alaf wakikwisha uenjoy na vipeperushi kwa kumpamba malaika!!Hivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga?
Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo..
Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa bunda..je hao wa morogoro wameshindwa kufika au??
Ikumbukwe wakati wa ziara ya rais morogoro hawa wabunge walitoa ushirikiano wa kutosha sana na rais aliwaelewa na kuahidi ushirikiano nao..
Je yawezekana wametengwa na chama kwa kukiuka utaratibu wa kutoshirikiana na serikali kama walivyoonyesha wakati wa ziara ya JPM majimboni mwao?? Au wameamua kufanya kazi za wananchi na kuisusia chadema na utaratibu wake wa kuwazuia kushirikiana na serikali..?muda utasema..tusubiri
Umeandika ujinga mtupuMbunge au diwani yeyote anayemsikiliza Mbowe na kuacha kushirikiana na serikali ; je, huyo tutakosea kumwita Lofa,mpumbavu ,mwehu ,punguani na mwendawazimu zaidi ya aliyemuagiza?
Mbunge yeyote mwenye akili timamu na anayeongozwa na Mwenyeliti Mwenye akili na maarifa ya kutosha anajua kuwa uchaguzi ukiisha anapeleka hoja za wananchi wake bungeni kama mwakilishi wa wao.
Bunge likiisha anarudi jimboni kushirikiana na wananchi na serikali kuleta maendeleo sio kwenda Dar es salaam kuandamana na kumtukana Rais
Sasa tujiulize Mbowe anawakataza wabunge na madiwani wake kushirikiana na serikali wakati ruzuku inayotolewa na serikali hiyo hiyo anaipokea kwa mikono miwili huku ulimi ukiwa nje na mate ya kimdondoka kwa uroho wa kuitafuna.
Mbowe huyo huyo anawakataza wabunge wenzake wasishirikiane na serikali mpaka nje ya Bunge huku yeye akishirikiana na serikali hiyo hiyo kuitangaza kwa kutumia gari la Kifahari alilopewa kama msemaji wa kambi rasmi ya upingaji bungeni.
Mbowe angekua na msimamo na mkweli angegoma kupokea ruzuku toka serikalini .
Pi angegoma kupokea na kutumia gari la kifahari alilopewa na serikali. Vinginevyo huyu mtu ni mnafiki kuliko mwanasiasa na mwanaharakati yeyote aliyewahi kutokea Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kwa ubishi wa Mbowe na vibaraka wake Chadema inakufa kipindi hiki kizuri na ambacho chama kingeongozwa na mwenyekiti kwenye uwezo wa kutosha kingekua kwa urahisi na kwa kasi kuliko kipindi chochote tangu kuanzishwa kwake.
Binadamu anapenda mabadiko ,Mbowe hataki Mabadiliko ndani ya chama. Mbowe ajifunze kitu kutoka kwa Bob Wine kule Uganda jinsi wananchi hasa vijana walivyomkubali na kubadili upepo wa kisiasa kwa sababu ni sura mpya iliyoibuka.
Mbowe aache nafasi kwa Sura mpya kujitangaza na kuonekana ndani ya Chadema.
Miaka 25 vyama vya upinzania Tanzania vimeshindwa kutuletea Sura mpya za uongozi ndani ya vyama hivyo vya Kidikteta ; Mbaya zaidi Wenyeviti wa vyama hivyo wanapambana kufa na kupona , kwa hali na mali kuzuia na kuifyekeleeea kila sura mpya inapojaribu kufurukuta na kujijenga kisiasa.
Intelijensia ndani ya Chadema na kwenye mitandao ipo kwa ajili ya kuzuia ,kuwatukana na kuwatisha wale wote wanaomkosoa Mbowe kwenye mambo ya msingi kabisa.
Mbowe ni mwenyekiti anayependa kusifiwa tu na kuungwa mkono hata kwa hila zake za kukifanya chama kuwa mali yake binafsi na ukoo wake.
Kuota ni haki yakoMbona hilo linajulikana chama cha chadema huwatenga wale wote wanao-support serikal,Hii ni kutokana na ukwel kwamba chama hichi mshikamano ni zero kinazd kuporomoka na kuwa na waswas kuwa kinaweza kupoteza wabunge na wanachama wengi siku baada ya siku.Kwaiyo mtu akizingua tu Wana-mcancel iliwapate kisingizio kwamba walimfukuza na hakukihama chama ....
Kamuulize babu yako wasira kilichompata na utabirbwake kabla ya 2015 kisha aliangushwa na mwanachadema kaacha utabir kwa sasaHivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga?
Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo..
Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa bunda..je hao wa morogoro wameshindwa kufika au??
Ikumbukwe wakati wa ziara ya rais morogoro hawa wabunge walitoa ushirikiano wa kutosha sana na rais aliwaelewa na kuahidi ushirikiano nao..
Je yawezekana wametengwa na chama kwa kukiuka utaratibu wa kutoshirikiana na serikali kama walivyoonyesha wakati wa ziara ya JPM majimboni mwao?? Au wameamua kufanya kazi za wananchi na kuisusia chadema na utaratibu wake wa kuwazuia kushirikiana na serikali..?muda utasema..tusubiri
Hivi mtu unawezaje kupoteza muda na chaji yako kuandika pumba kaisi hiki? Kuna watu kichwani kuna mb 1Mbunge au diwani yeyote anayemsikiliza Mbowe na kuacha kushirikiana na serikali ; je, huyo tutakosea kumwita Lofa,mpumbavu ,mwehu ,punguani na mwendawazimu zaidi ya aliyemuagiza?
Mbunge yeyote mwenye akili timamu na anayeongozwa na Mwenyeliti Mwenye akili na maarifa ya kutosha anajua kuwa uchaguzi ukiisha anapeleka hoja za wananchi wake bungeni kama mwakilishi wa wao.
Bunge likiisha anarudi jimboni kushirikiana na wananchi na serikali kuleta maendeleo sio kwenda Dar es salaam kuandamana na kumtukana Rais
Sasa tujiulize Mbowe anawakataza wabunge na madiwani wake kushirikiana na serikali wakati ruzuku inayotolewa na serikali hiyo hiyo anaipokea kwa mikono miwili huku ulimi ukiwa nje na mate ya kimdondoka kwa uroho wa kuitafuna.
Mbowe huyo huyo anawakataza wabunge wenzake wasishirikiane na serikali mpaka nje ya Bunge huku yeye akishirikiana na serikali hiyo hiyo kuitangaza kwa kutumia gari la Kifahari alilopewa kama msemaji wa kambi rasmi ya upingaji bungeni.
Mbowe angekua na msimamo na mkweli angegoma kupokea ruzuku toka serikalini .
Pi angegoma kupokea na kutumia gari la kifahari alilopewa na serikali. Vinginevyo huyu mtu ni mnafiki kuliko mwanasiasa na mwanaharakati yeyote aliyewahi kutokea Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kwa ubishi wa Mbowe na vibaraka wake Chadema inakufa kipindi hiki kizuri na ambacho chama kingeongozwa na mwenyekiti kwenye uwezo wa kutosha kingekua kwa urahisi na kwa kasi kuliko kipindi chochote tangu kuanzishwa kwake.
Binadamu anapenda mabadiko ,Mbowe hataki Mabadiliko ndani ya chama. Mbowe ajifunze kitu kutoka kwa Bob Wine kule Uganda jinsi wananchi hasa vijana walivyomkubali na kubadili upepo wa kisiasa kwa sababu ni sura mpya iliyoibuka.
Mbowe aache nafasi kwa Sura mpya kujitangaza na kuonekana ndani ya Chadema.
Miaka 25 vyama vya upinzania Tanzania vimeshindwa kutuletea Sura mpya za uongozi ndani ya vyama hivyo vya Kidikteta ; Mbaya zaidi Wenyeviti wa vyama hivyo wanapambana kufa na kupona , kwa hali na mali kuzuia na kuifyekeleeea kila sura mpya inapojaribu kufurukuta na kujijenga kisiasa.
Intelijensia ndani ya Chadema na kwenye mitandao ipo kwa ajili ya kuzuia ,kuwatukana na kuwatisha wale wote wanaomkosoa Mbowe kwenye mambo ya msingi kabisa.
Mbowe ni mwenyekiti anayependa kusifiwa tu na kuungwa mkono hata kwa hila zake za kukifanya chama kuwa mali yake binafsi na ukoo wake.
Hivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga?
Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo..
Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa bunda..je hao wa morogoro wameshindwa kufika au??
Ikumbukwe wakati wa ziara ya rais morogoro hawa wabunge walitoa ushirikiano wa kutosha sana na rais aliwaelewa na kuahidi ushirikiano nao..
Je yawezekana wametengwa na chama kwa kukiuka utaratibu wa kutoshirikiana na serikali kama walivyoonyesha wakati wa ziara ya JPM majimboni mwao?? Au wameamua kufanya kazi za wananchi na kuisusia chadema na utaratibu wake wa kuwazuia kushirikiana na serikali..?muda utasema..tusubiri
Mimi nawashawishi watanzania wampuuze na kumhesabu Dikteta Mbowe kama Mtu asiyefaa hata kwa dawa kuongoza Chama chenye kupigania demokrasia na usawa.Hivi mtu unawezaje kupoteza muda na chaji yako kuandika pumba kaisi hiki? Kuna watu kichwani kuna mb 1
Mku hao ni watu watatu wanaoishi hizo Itikadi za hicho chamaHivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga?
Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo..
Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa bunda..je hao wa morogoro wameshindwa kufika au??
Ikumbukwe wakati wa ziara ya rais morogoro hawa wabunge walitoa ushirikiano wa kutosha sana na rais aliwaelewa na kuahidi ushirikiano nao..
Je yawezekana wametengwa na chama kwa kukiuka utaratibu wa kutoshirikiana na serikali kama walivyoonyesha wakati wa ziara ya JPM majimboni mwao?? Au wameamua kufanya kazi za wananchi na kuisusia chadema na utaratibu wake wa kuwazuia kushirikiana na serikali..?muda utasema..tusubiri
Jambo la msingi ni kwamba huwezi kunizuia kumkosoa na kuwaonyesha wananchi na viongozi wenzake ubaya wa Kujenga Chama cha Kidikteta na kuuenzi udikteta kamili wa Mbowe na genge lake. Ikiwezekana wamkimbie wote ili abaki peke yake kama madikteta wenzake kwenye vikundi vingine( TLP ,UDP,CUF na vikundi vingine vya upatu wa kujipatia ruzuku)Umeandika ujinga mtupu