unamjibu wanini anaeleta PUMBA UNAJIBU PUMBA! HATA MAKAMBA ALISEMA YEYE NI MTAALAMU WA MATUSI!Unaitaji chama au unaitaji wasisi wa vyama,kukuweka sawa tu Mrema si mwasisi wa NCCR wa Lipumbumba si mwasisi wa CUF,
Shukrani kwa wote waliochangia.
Inapoitaja CUF, huwezi acha kumtaja Prof. I. Lipumba, Seif Sharif, n.k
Unapoitaja UDP, hakika huwezi acha kumtaja Mzee J. Cheyo, n.k
Unapoigusa CCM, lazima uanze na TANU + Afroshiraz, na waasisi wake kama Baba wa Taifa, Kawawa, Bibi Titi, Karume, Seti Benjamin, n.k
Kwanini, hamuokenani kukubali kutizama nyuma ya pazia la CDM.
"Tell me your friend, and will tell you................"
Ndugu wana JF
Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa nchini "lifting of the vail".
1. Nilipofunua pazia la TLP na NCCR-Mageuzi, nikamkuta Mh. Lyatonga Mrema, n.k
NCCR sio Mrema bali ni: Mabere Marado, Christopher Mtikila, James Mbatia, Prince Bagenda, Dr. Ringo Tenga, Nindi Chimoto, Ndimara Tegambwage, Anthony Komu, Kibibi Senyagwa, Joseph Selasini, Evodius Mmanda, etc.
TLP sio MREMA bali ni Leo Lwekamwa na wenzake.
2. Pazia la CCM: Niwewakuta waasisi akina Baba wa Taifa, Mzee Karume, n.k
3. C.U.F nimewakuta akina Prof, n.k
CUF sio Lipumba bali ni James Mapalala, Alec Chemponda, Kashaju Bazigiza, Kasanga Tumbo, n.k
4. Naomba kujua ni nani na wako wapi waasisi wa CHADEMA?
Nisaidieni, maana ninataka kujiunga na chama cha siasa haraka iwezekanavyo
Mi sioni sababu za kutafuta waasisi kwa maana chama hubadilika kufuatana na wakati na viongozi watakaokuwa madarakani. Si kweli waasisi wa CCM ni Nyerere na Karume bali ni Nyerere na Aboud Jumbe Bn Mwinyi. CCM ilizaliwa mwaka 1977 wakati huo Mzee Karume alikuwa ameshafariki miaka sita nyuma (Alifariki kwa kupigwa risasi 1971). Kwa taarifa yako tu CCM ya leohii si ile aliyoiasisi Nyerere iliyokuwa ikisema Rushwa kwangu ni mwiko sitapokea wala kutoa rushwa, tena wakati huo mtu akiwa na utajiri usio na maelezo ilikuwa sababu tosha ya kutokuwa na sifa za kuwa kiongozi hata wa kata; tofauti na sasa ambapo sifa ya kuwa kiongozi ndani ya CCM ni kuwa fisadi, mwizi, kibakauchumi na mlaghai. CCM ya leo ni mateka wa wezi, mabepari, wahujumu uchumi na maharamia waliozagaa nchi nzima ambao kamwe haiwezi kujivua kwa maana wao ndiyo walioshika hatamu na wafadhili wakuu.Unaitaji chama au unaitaji wasisi wa vyama,kukuweka sawa tu Mrema si mwasisi wa NCCR wa Lipumbumba si mwasisi wa CUF,
niliwahi sikia kuwa ni mtei na bob makani, then makani (amefariki) na mtei akamwachia mkwewe mbowe, mbowe nae akamwita shemejie ndesa.Ndugu wana JF
Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa nchini "lifting of the vail".
1. Nilipofunua pazia la TLP na NCCR-Mageuzi, nikamkuta Mh. Lyatonga Mrema, n.k
2. Pazia la CCM: Niwewakuta waasisi akina Baba wa Taifa, Mzee Karume, n.k
3. C.U.F nimewakuta akina Prof, n.k
4. Naomba kujua ni nani na wako wapi waasisi wa CHADEMA?
Nisaidieni, maana ninataka kujiunga na chama cha siasa haraka iwezekanavyo
Ndugu wana JF
Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa nchini "lifting of the vail".
1. Nilipofunua pazia la TLP na NCCR-Mageuzi, nikamkuta Mh. Lyatonga Mrema, n.k
2. Pazia la CCM: Niwewakuta waasisi akina Baba wa Taifa, Mzee Karume, n.k
3. C.U.F nimewakuta akina Prof, n.k
4. Naomba kujua ni nani na wako wapi waasisi wa CHADEMA?
Nisaidieni, maana ninataka kujiunga na chama cha siasa haraka iwezekanavyo
CHADEMA -muasisi wake ni Edwin Mtei baba mkwe wa Freeman Mbowe.
poor thinging wewe unajoin chama kwa kigezo cha waasisi?
Ndugu wana JF
Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa nchini "lifting of the vail".
1. Nilipofunua pazia la TLP na NCCR-Mageuzi, nikamkuta Mh. Lyatonga Mrema, n.k
2. Pazia la CCM: Niwewakuta waasisi akina Baba wa Taifa, Mzee Karume, n.k
3. C.U.F nimewakuta akina Prof, n.k
4. Naomba kujua ni nani na wako wapi waasisi wa CHADEMA?
Nisaidieni, maana ninataka kujiunga na chama cha siasa haraka iwezekanavyo
Uamuzi wa kujiunga CHAMA cha siasa ni maisha, kama yalivyo maisha mengine.
Mfano, kwenye ndoa au ata mahusiano ya kawaida uwa kila mmoja anakuwa na zoezi la kumjua mwenzie. Kwani wasifu (c.v) si muhimu wakati wa kumuajiri mfanyakazi?
Profile ya vyama na waasisi wao ni miongoni mwavigezo muhimu katika kuwapata wanachama.
Mimi tu kuulizia ni nani wako nyuma ya pazia la CDM, reaction inakuwa negative...jamani!
Negative response haiwezi kunipelekea kufanya maamuzi. Niambieni ni nani wako nyuma ya pazia la CDM.