WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
...kazi nzuri sana makamanda wa ngala
hapa sombetini ccm haionekani nasikia wameingia mitini!!!!
Kura mbili tu
mie nikiona haya huwa naanza jiuliza maswali, je hao wanaohama ccm kwenda chadema, wanajua mwongozo wa chadema. Pili wanakubali kuenenda na mwongozo wa chadema? Au do mambo ya danganya toto!!!???
2015 imewadia na cccm pa kwenda hawana labda samunge kwa babu wao
cdm ni msingi ni soooo!
hongera kwa kazi nzuri.
...Kazi nzuri sana Makamanda wa Ngala
Hapa sombetini ccm haionekani nasikia wameingia mitini!!!!
kura mbili tu
Dah ! Hii cdm ni msingi hii ! Kazi ipo .
nafarijika sana kusikia habari kama hizi, vipi?, akina sebabilina na methusela jeremiah gachocha wanasemaje?, make huu music siyo mchezo.
Namsikitika sana ndugu hamuduni dereva wa ccm ngara karibia sasa atakosa kazi,
angejiongeza mapema akajiunga kwenye haya mapambano. m4c mbele kwa mbele
hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
...Kazi nzuri sana Makamanda wa Ngala
Hapa sombetini ccm haionekani nasikia wameingia mitini!!!!
kura mbili tu
je after 2015 what next? Hebu tuache kuwa kama bendera, kila upepo ukivuma twaelekea bila kuwa na msingi
1. What does chadema stand for??????????????(belief/value)
2. Does it live by its core belief/value?