Wajitoe na kwenye maridhiano fake
KabisaaNi kweli wasimame na msimamo wao kama chama kwamba wanahitaji Katiba Mpya
Thubutu!!Wajitoe na kwenye maridhiano fake
Watu wa jinsia yako kwenye hoja za kiumeni kama hii tunakudharau tu. Wajinga mko wengi sana huko CCMThubutu!!
Unaijua asali wewe?
Hasa asali ya kulamba kwi kwi kwiThubutu!!
Unaijua asali wewe?
Ukiielewa post hutapata shida mkuu lkn naona hujaelewa postKuna tatizo Gani wazee wastaafu kusapport KATIBA mpya? Shd nn, sababu waliwah kuwa CDM au wengine kuwa sehemu ya Serikali?
KATIBA mpya tunayoipigania ni ya Watanzania wote ktk makundi mbalimbali.
Hoja ya KATIBA mpya ni ya nchi nzima Si ya CDM hivyo hata walioko CCM wanahitajika, ila tu wenye Nia njema.
TUTAFIKA TU.
Wewe unaamini Mbowe ataacha Maridhiano?Watu wa jinsia yako kwenye hoja za kiumeni kama hii tunakudharau tu. Wajinga mko wengi sana huko CCM
Ujinga tena Unatoka wapi tulishakubaliana tunashindana kwa hojaWewe unaamini Mbowe ataacha Maridhiano?
Basi utakuwa ni mjinga sana
Mbowe aache maridhiano Kwa sababu gn sababu yote wanayotaka yanatimizwa?Wewe unaamini Mbowe ataacha Maridhiano?
Basi utakuwa ni mjinga sana
Covid 19Mbowe aache maridhiano Kwa sababu gn sababu yote wanayotaka yanatimizwa?
Siro amefurushwa kuwa IGP,
CCM na SIRIKALI wameridhia Mchakato.
Soon Warioba atarudishwa Kwa time na Rasimu itatumika kuanzia mjadala.
Mwaka kesho kwenye budget tegemea pesa ikitengwa ajili ya Mchakato wa Katiba mpya.
Pia tuna miaka karibia 3 kabla ya 2025, tuko pazuri.
Mbowe siyo Chadema na ndiyo maana vijana wanaendelea kupiga spana na yeye aendelee na maridhiano. Ila jo umegraduate kutoka kuwa mpumbavu hadi kuwa taahira.Wewe unaamini Mbowe ataacha Maridhiano?
Basi utakuwa ni mjinga sana
About COVID tusubiri MARIDHIANO mwafaka utapatikana.Covid 19
Mbowe na Halina Mdee ndio wamiliki wa ChademaMbowe siyo Chadema na ndiyo maana vijana wanaendelea kupiga spana na yeye aendelee na maridhiano. Ila jo umegraduate kutoka kuwa mpumbavu hadi kuwa taahira.
Propaganda hizo. Anyway ndo SIASA.Mbowe na Halina Mdee ndio wamiliki wa Chadema