Bob Marley aliwahi kuimba maneno yafuatayo:
"Yule apiganae na kukimbia, aweza kuishi na kupigana Tena siku nyingine"
Chadema mumepigana kishujaa na kila mtanzania amejionea.
Vita hii kwa hakika tulipofikia Chadema ndio mshindi. Yes, ni kweli nilichosema, Chadema mumeshinda kwa hatua ya kwanza.
Hamjapata total victory, na kamwe hamtaipata kwa hatua hii ya kwanza!
Ingelikuwa ni vita ya kijeshi, ningesema jeshi lenu limeshathibiti miji kadhaa muhimu, na bado mnaelekea mji mkuu na ngome kuu ya mwisho ya adui CCM.
Hapa naandika Mambo muhimu ambayo Chadema imeshajishindia kwa hatua iliyofikiwa!
1. Kuonesha jamii ya watanzania kuwa Chadema pekee ndio chama chenye nia thabiti ya kupambania haki na maendeleo ya mtanzania
2. Kuondoa genge haramu ndani ya chama chenu ambalo lilijikita katika kupigania matumbo yao
3. Kuonesha jamii za kimataifa kuwa CCM ni wakoloni wa Taifa hili wasiojali haki, demokrasia, utawala wa sheria na maendeleo ya mtanzania
4. Kuwafanya CCM na dola kuishi kwa pressure na hofu kuu ambavyo hawajawahi kuwa tangu Uhuru
5. Kuwafanya CCM watangaze kuwa muhula ujao watafanya reforms za katiba kabla ya kufikia 2029.
Hii ni point mzuri kabisa ya ushindi
6. Kuifanya jamii kubwa ya Watanzania waelewe kuhusu Uchaguzi huru, tume huru na uharamia wa CCM katika Uchaguzi, na kuwaharibia CCM propaganda yao mfu ya "kulinda amani" na badala yake watanzania wamefahamu Sasa wanahitaji "haki" ambayo ndiyo mama wa Amani
7. Kuwafanya CCM kupunguza viwango vya Uchafuzi wa Uchaguzi hapo oktoba 2025
Hata Kama Uchaguzi bado, lakini kwa pressure na hofu waliyonayo kwa Sasa, watake wasitake hawataweza Tena kudhulumu Uchaguzi kwa viwango vile walivyofikia 2020!
Haya ni mafanikio yakujivunia, na kamwe Chadema wasifanye kosa la kuwanufaisha Act au Chauma
Nimesema na narudia kuwa Chadema wameshinda.
Hawajafika kilele Cha Ushindi na hawatafika kwa awamu hii, kwa sababu ya changamoto zifuatazo lazima zitawazidi nguvu kwa Sasa
1. Utengano wa vyama pinzani
Inajulikana wazi kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Hapa Chadema ikubali imepigwa na kitu kizito.
Na hapa ndio strength pekee ya CCM.
Hata history inatufundisha harakati nyingi za mwafrika zilifeli kutokana na mgawanyiko na usaliti
2. Mgawanyiko wa Taifa kidini.
Huku uislamu against reforms na huku christians supporting reforms
3. Wananchi Tanzania hawana spirit ya kufight for political rights. Nguvu ya umma haitakuwepo.
Ule umati kwenye mikutano hautaonekana.
Watakao jaribu kushinikiza kwa maandamano ni wanachadema kindakindaki wachache kwenye baadhi ya maeneo
Na hao watasambaratika likipigwa bomu moja, na kisha baadhi watakamatwa na kusota selo kwa miezi kadhaa
Na baadae watatolewa kwa jina la maridhiano
4. CCM wapo tayari kuharibu Taifa lote, kuua na kuangamiza ili mradi wasipoteze dola kizembe kwa kuruhusu "tume huru" kirahisi rahisi tu
Kukosa huu Uchaguzi Kuna madhara makubwa matatu nayatazama
1.Ipo hatari ya Chauma kung'ara!
Kumbuka hawa watapata wabunge kwa misingi ya kupewa na CCM au kupata kwa kukidhi idadi ya kura kwani ikumbukwe nimesema Uchaguzi huu CCM wataonesha some fairness!
Chauma itakuwa na figures zenye ushawishi Kama Mdee, Bulaya, Sugu na Mbowe either openly or in hiden striking!
Ukimya mkubwa wa Chadema ndani ya miaka mitano ijayo, na roho za kisaliti za mwafrika zilivyo, chama kitajikuta taratibu kinapoteza watu.
Na usisahau kuwa wakati huo serikali inaendelea taratibu kufanya kampeni za siri za kuiua kabisa Chadema, ili iendelee kubaki na vyama vya kupigania ruzuku.
2. Hatari nyingine ninayoitazama, ni Chadema kukosa bunge la kurekebisha katiba muhula ujao
Je, Nani ataweka pressure kubwa kwa serikali ya CCM kuleta katiba yenye reforms stahiki?
3. Ipo hatari ya kufutwa kabisa Chadema iwapo italeta fujo zozote hapo mbeleni, kwasababu inachafua Uchaguzi ambao wao hawahusiki
Hata hivyo, naamini viongozi wakuu wanalo wanalolijua sirini linalowapa Imani kuu na ushujaa ktk vita hii tukufu yenye maslahi mapana kwa Tanzania yetu
Mungu ibariki Chadema,
Mungu ibariki Tanzania