CHADEMA ndo wamesusia shughuli za bunge?



Kwa hiyo misiba anayohudhuriaga Kikwete alitakiwa kutuma wawakilishi siyo??

Kwa jinsi unavyosema inaelekea unaweza kutuma wawakilishi kwenye msiba wa mama yako!!
 
Nimevutiwa na habari ya gazeti la monitor la leo ambapo rais museveni anawaambia wabunge wa uganda kuwa ni wakimbizi wa ndani kuwa idadi kubwa wamekimbilia kampala. Vipi wewe mbunge wako?
 
Ni dhahiri sasa kuwa CCM wanatumia mwanya wa CHADEMA kutokuwepo bungeni kuwachafua na kupotosha umma kuhusu suala la Arusha, na kwa sababu hamjaacha silaha yeyote bungeni 0 wanatumia hiyo chance effectively kuuaminisha umma kuwa nyie ndo mmehusika na lile shambulio!

Rai yangu kwa wabunge wa CHADEMA
kwa sababu shughuli za mazishi zimekwisha nendeni bungeni as soon as possible mkifika tu kila aliyekuwa anaropoka bila ushahidi wowote atanyamaza kimya!
 
umeongea point,hasa ile chemba ya iramba inatema sama
 
kwani we hujui paka akitoka panya anatawala?wacha wabwabwaje tu kwani hakuna cha maana wanachokiamua sabubu tatizo la wabunge wa ccm ni ndiyooooooooo!yani hakuna hata mwenye verse mpya....chorus yao ni hiyohiyo beti zao ni hizohizo,watunzi wa nyimbo zao ni walewale,yani hata waimbaji ni walewale...kifupi ni hivi GARI LIMESIMAMA DEREVA AMEENDA KUCHIMBA DAWA,abiria waliomo hakuna hata mmoja ajuaeye honi ilipo,SOON WANARUDI MKUU SPEED 140......
 
lukos majira unayajua vizuri ya tz.....wacha watu wapumzike usije haribu usingizi wa watu....
 
Bunge linaanza jumatatu kinachoendelea sasa pale ni kitchen party ya wabunge wa CCM, tukifika tunaanza na Pinda lazima alie tena wiki ijayo bungeni usikae mbali na tv uone machozi yatakavyokuwa yanateleza kwenye ile sura ngumu.
 
Bunge bila shaka halipo ningependa kujua bunge linarudi lini ili nianze kuangalia?
 
Ila CCM hawakujaaliwa kabisa kumwaga kinyesi bila jipaka...leo tuu walichokuwa wakiongea kinawakata mikia hawa nyoka wa ndimi mbili.

Pia kajibaraguza wewe halafu kamalizia na kusema kaamuru watu wachapwe..km vile hajui kuwa "ISSUE NI SERIKALI KUAURU MAUAJI".Mwigulu nae kaongea porojo na kuwadanganya wana CCM wote,ghafla tamko la CDM kuhusu jinsi picture ilivyochukuliwa limewamaliza hadi askari nguvu.Kuwa walipoteza muda bure na nyumba ya lema na kupiga mabomu mengine ambayo nayo yatakuwa ktk record.Na hawana hakika km kwa leam nako hawajachukuliwa wakiongea mengi mabaya.
 
CHADEMA ni wauaji.

Jana nilikuwa nyumbani Old Moshi, Kilimanjaro kwenye mazishi. Wananchi wa pale kijijini kwangu wanalaumu sana mauaji yanayoendelea kufanywa na CHADEMA.
 
Kwanza elewa maana ya kutumia nafasi
Definition of OPPORTUNITY1
: a favorable juncture of circumstances <the halt provided anopportunity for rest and refreshment>

2
: a good chance for advancement or progress

pili elewa maana ya kutumia nafasi kimaslahi



Hapo kuna chance ya kupata sympathy kutoka kwa wapiga kura despite having no clear argument of where they want to take the nation should they get that opportunity. On the other hand in the parliament that is where they supposed to scrutinize and offer alternative of the policies, hata kama wewe una sera si bora ukatafute kura za uruma tu, i tell ya Mbowe has to go for CDM to move forward CCM inachosha no sane individual knowing the challenges would accept the current CDM leadership.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…