Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,665 Jun 25, 2012 #2 wana kipande hawa?
MANGUNGO JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 1,536 Reaction score 354 Jun 25, 2012 #3 Mpaka mabitozi washington wanakubali safi sana,wamebaki mashorobaro na wauza sura wakizaramu na kikwere dsm sasa,badilikeni eheeee! Mnatuangusha sana.
Mpaka mabitozi washington wanakubali safi sana,wamebaki mashorobaro na wauza sura wakizaramu na kikwere dsm sasa,badilikeni eheeee! Mnatuangusha sana.
D Dabudee Senior Member Joined May 30, 2012 Posts 156 Reaction score 30 Jun 25, 2012 #4 Washington iko kaskazini bila shaka ila hata kaskazini ya Marekani nako ni tabu nini?
B Bob G JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 2,351 Reaction score 450 Jun 25, 2012 #5 Hivi hawa watakuja kupiga kura? maana si 2 kufurahi kuwa CDM ina watu mpaka Marekani
Mimibaba JF-Expert Member Joined Jul 1, 2009 Posts 4,557 Reaction score 1,295 Jun 25, 2012 #6 Bob G said: Hivi hawa watakuja kupiga kura? maana si 2 kufurahi kuwa CDM ina watu mpaka Marekani Click to expand... Mamilioni ya CCM kwa matawi ya Washington na London yalikuwa kwa ajili ya wapiga kura? Sasa hivi suala la kura CDM halipo kuna suala la kula ccm kura CDM
Bob G said: Hivi hawa watakuja kupiga kura? maana si 2 kufurahi kuwa CDM ina watu mpaka Marekani Click to expand... Mamilioni ya CCM kwa matawi ya Washington na London yalikuwa kwa ajili ya wapiga kura? Sasa hivi suala la kura CDM halipo kuna suala la kula ccm kura CDM
Narubongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 2,768 Reaction score 2,767 Jun 25, 2012 #7 Bob G said: Hivi hawa watakuja kupiga kura? maana si 2 kufurahi kuwa CDM ina watu mpaka Marekani Click to expand... nchi nyingi sasa hivi diaspora wanapiga kura online, bostwana, maldives few to mention
Bob G said: Hivi hawa watakuja kupiga kura? maana si 2 kufurahi kuwa CDM ina watu mpaka Marekani Click to expand... nchi nyingi sasa hivi diaspora wanapiga kura online, bostwana, maldives few to mention