Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
Dada Reagia asante kwa taarifa. Na wilaya ya ngara mtafika maana huku kuna wafuasi wengi ambao hawajafikiwa na kuhamasishwa hata kipindi cha kampeni CDM haikufika. Kwa maono yangu haya maeneo ndo ya kuja kuhamasisha zaidi na watu wapo tayari kubadilika.Wakuu.Habari!!!
Yale Maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa yanatarajiwa kuhitimishwa leo kwa maandamano makubwa na ya aina yake Bukoba Mjini. Maandamano hayo yanatarajiwa kuanza saa 7 mchana.Maandalizi yameshakamilika na msafara wa Vikosi Kazi ndio unajiandaa kutoka Kahama vilipotia nanga kuelekea Bukoba. Kazi kamili itahitimishwa kesho kwa kufanya mikutano ya hadhara kwenye Wilaya za Mkoa wa Kagera. Baada ya hapo Vikosi vitarudi Dar es salam kwa maandalizi ya Kanda nyingine baada ya Bunge la Aprili. Habari ya matukio baadaye kazi ikianza.
Kutoka Kahama
Reagia E Mtema
Waziri Kivuli- Kazi na Ajira.
Wakuu.Habari!!!

Dada regia tujunze kwanza na hizi tetesi kuwa Dr.slaa mekamatwa kahama,na wabunge wawili.source redio one.Wakuu.Habari!!!
Yale Maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa yanatarajiwa kuhitimishwa leo kwa maandamano makubwa na ya aina yake Bukoba Mjini. Maandamano hayo yanatarajiwa kuanza saa 7 mchana.Maandalizi yameshakamilika na msafara wa Vikosi Kazi ndio unajiandaa kutoka Kahama vilipotia nanga kuelekea Bukoba. Kazi kamili itahitimishwa kesho kwa kufanya mikutano ya hadhara kwenye Wilaya za Mkoa wa Kagera. Baada ya hapo Vikosi vitarudi Dar es salam kwa maandalizi ya Kanda nyingine baada ya Bunge la Aprili. Habari ya matukio baadaye kazi ikianza.
Kutoka Kahama
Reagia E Mtema
Waziri Kivuli- Kazi na Ajira.
Dada regia tujunze kwanza na hizi tetesi kuwa Dr.slaa mekamatwa kahama,na wabunge wawili.source redio one.
Hongera dada yangu na Mungu awatangulie daima tupo pamoja nanyi. Ninaomba nifahamu mikakati ya kuimarisha ofisi za CDM wilaya na mikoa kwa kweli nguvu inahitajika kufanikisha hili ninaamini hata ikiitishwa harambee tutafanikisha hili, kwa mfano ofisi ya CDM mkoa wa Dodoma inatia huruma ninaamini hata wewe dada yangu unapokuwa dodoma huwa haikupi hata hamu ya kwenda kupumzika au kufanyia kazi zako mahali pale. Mimi nipo tayari kulitetea hili la uimarishaji au ujenzi wa ofisi hizi