Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Mkuu hapo wamesema awe na SIFA za kuwa Mbunge (Wamefupisha badala ya kuzitaja moja moja) lakini sio lazima awe Mbunge.nafikiri Spika si lazima awe Mbunge, ila atapigiwa kura na wabunge
Masharti kwa wagombea ni kama ifuatavyo;
1. Awe ni Mtanzania kwa kuzaliwa.
2. Awe na sifa zinazohitajika kwa mujibu wa Katiba na sheria za Bunge la Jamhuri ya Muungano.
3. Awe mwanachama wa CHADEMA .
4. Awe mtu mwenye mwenendo na maadili mema ndani ya jamii .
Haaa jamani PCCB wamesema chenge hahusiki na mambo ya RADAR..teh teh TZ bana ni fulu komedi
Sioni namna yeyote kwa asiye wa ccm kushinda. Kama wapiga kura ni wabunge ambao zaidi ya nusu ni ccm unatakiwa kujua kama pi aka 22/7 kuwa CCM watamchagua CCM tu na ndo atashinda.
Lakini inategemea pia CCM watampendekeza nani. kama wakifanya kosa tu, kuna wabunge wengi wa CCM ambao wako tayari kumpigia mtu mwingine kama chaguo la chama chao litakuwa bovu
Sioni namna yeyote kwa asiye wa ccm kushinda. Kama wapiga kura ni wabunge ambao zaidi ya nusu ni ccm unatakiwa kujua kama pi aka 22/7 kuwa CCM watamchagua CCM tu na ndo atashinda.
Wengine wataweka changamoto na kuonyesha demokrasia imechukua mkondo wake lakini haiwezi kubadili hali halisi kwa mazingira ya sasa. Tena wanakura za aina 2 za wazi na siri, wakiona mambo yanaweza haribika hupendekeza kura ya wazi ili kushinikiza ushindi kwao.
Sijui tumpendekeze dr Slaa achukue fomu?
Chadema mnafaa mpelekwe kwenye hospitali ya wagonjwa wa akili ,madaktari wa magonjwa ya akili wanasema kila mtu ana matatizo ya akili kwa asilimia fulani nafikiri waChadema asilimia yao inatisha.