Achana na wajivua gamba hao wala wasikuumize kichwa..Simple minded. nimesoma habari yote sijaona anapotajwa Mbowe au Slaa kutumia kwa Mke au Mbowe kulipa madeni. Maoni yako yapo too biased kwa sababu tatizo sio kufuja bali kutowasilisha hesabu kitu ambacho hakitoi conclusion ya moja kwa moja kuwa vyama husika vimetumia vibaya fedha hizo.
Uhasibu na taratibu zake kwenye vyama vya siasa haupo. Vyama hivi vinapewa ruzuku ya nini? Mbona taasisi kama za dini zinajiendesha bila ruzuku. Tunaigharamia sana SIASA huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Tukiondoa ruzuku za vyama, kesho yake CCM haitakuwepo.
chadema nao kumbe wanatafuna mapesa yetu bila kuwajibika mbowe anazitafuna tu hizo na kusingizia anajilipa madeni. slaa naye anchota milioni 15 kila mwezi za kutumia na mke mpya
Vita ya ufisadi yageukia vyama vya siasa
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovic Etouh
Ramadhan Semtawa
VYAMA sita vya siasa vyenye wawakilishi bungeni, vinadaiwa kuwa vimeshindwa kuwasilisha taarifa za hesabu kuhusu matumizi ya ruzuku ya jumla ya Sh17.14bilioni kwa mujibu wa sheria. Vyama hivyo ambavyo vinapata ruzuku inayotolewa na Serikali ni pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Tanzania Labour (TLP), NCCR-Mageuzi na UDP.
Tuhuma hizo zimo kwenye Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), inayoishia Juni 30, 2010.
CAG ametoa ripoti hiyo baada ya sheria, kwa mara ya kwanza kumpa mamlaka ya kuvikagua vyama vya siasa ambavyo mahesabu yao, yanapaswa kuwasilishwa kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania.
"Taarifa za fedha kwa malipo ya ruzuku ya Sh17,146,819,904 kwa vyama vya siasa mbalimbali hazikuwasilishwa na vyama husika katika Ofisi ya Msajili," ilisema Ripoti ya CAG katika fungu la 27 kuhusu Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na matumizi ya ruzuku.
Takwimu kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa zinaonyesha kuwa CCM kinapata ruzuku ya asilimia 70, CUF asilimia 20, Chadema asilimia nane na NCCR-Mageuzi, UDP na TLP vinagawana asilimia mbili.
Katika mahesabu ya kawaida, kati ya fedha hizo Sh 17.14 bilioni, CCM itakuwa imepata mgawo wa Sh12bilioni, CUF Sh 3.43bilioni, Chadema Sh1.37bilioni na vyama hivyo vitatu kwa asilimia mbili yao vikipata Sh343milioni.
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa alipoulizwa na gazeti dada la The Citizen kwa simu alisema asingeweza kuzungumzia jambo hilo nyeti kwa mawasiliano ya simu kwani anahitaji kukaa na kulifanyia kazi kwa kina.
Hata hivyo, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovic Utouh katika ripoti hiyo alisema kitendo hicho ni kinyume cha kifungu 14 (1) na (3) cha Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992.
Sehemu ya kifungu hicho inasema, "Chama chochote cha siasa ambacho kina usajili wa kudumu, kinapaswa kutunza hesabu zake vizuri za ruzuku na kuwasilisha kwa Msajili."
Kifungu hicho kinaendelea: "Kwa kutumia taarifa ya mwaka ya ukaguzi wa hesabu uliofanywa na mkaguzi anayetambulika kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu, huku ikiwa na tamko la mali zote zinazomilikiwa na chama hicho."
Utouh alisema pia kwamba Sh56.9milioni zilitumika na msajili huyo wakati hazikuhusiana na shughuli za vyama vya siasa.
"Jumla ya Sh56,180.44milioni zilitumika na Msajili wa Vyama vya Siasa wakati hazikuhusiana na shughuli za vyama vya siasa," alisema Utouh katika taarifa hiyo.
Mbali na tuhuma hizo, Utouh alisema kwamba kiasi cha Sh272.8milioni zilitumika kulipa deni la miaka ya nyuma la Bodi ya Udhamini ya chama cha UDP bila kuonyeshwa katika taarifa za fedha na kusema: "Malipo haya yanaathiri utendaji wa ofisi kwa mwaka wa sasa wa fedha."
UDP kinaongozwa na John Cheyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).
Alipoulizwa kuhusu fedha hizo, Cheyo alisema hajaisoma vyema ripoti hiyo na kuongeza kwamba atakuwa kwenye nafasi nzuri kuzungumzia hilo baada ya kuipitia kwa kina.
"Kwa sasa hivi itakuwa ni vigumu kuzungumzia ripoti hiyo wakati sijaisoma vizuri. Nitakuwa siko sahihi kama nitazungumza bila kuisoma. Nipe muda nisome kisha nitaweza kuizungumza," alisema.
Sijaona ufisadi uko wapi wandugu!
Anatafuta visingizio kwa sababu Chama chake kimeshindwa kujivua gamba gumu. Wanapapasa hapa na pale ili kutafuta roho za watu. Kama unapenda Mil 15 za Slaa omba uwe Bi. Mdogo si unaitwa Jenifa?Ume-post bila kusoma? Au ni ushabiki ndo unaokusumbua? Mbona iko wazi kuwa tatizo ni la office ya msajiri wa vyama vya siasa. Hakuna chama kilichokaguliwa. Soma vizuri na kwa makini.
Kijana acha kukurupuka ukiambiwa hawajawasilisha haimaanishi hawaja tunza kumbukumbu au wametumia vibaya pesa kumbukumbu zipo na zitawasilishwa kwa msajiri kitu kilicho tatiza chama niujinga wa sheria yenyewe kukitaka cham kiwasilishe kumbukumbu za mahesabu kwa msajiri wakati msajiri hana utaalam na maswala yoyote yahusuyo pesa kikubwa cag mwenyewe alipaswa kufika kinondoni akagulie palepale
wasafi hao chadema wanatafuna mabilioni bila kuwajibika ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
watanzania hatuna vyama tuna majambazi yanapigana kutuibia na kujaza matumbo.
wanalipwa ngapi bungeni wanagoma kabla ya kwenda huko walituambiaga kila kitu kitakuwa wazi.
mwenyekiti chota tu mpaka deni la nssf lilipwe. slaa mke mpya ana gharama kubwa kaacha mume kufuata pochi. milioni 15 kwa mwezi na pesa za safari overtime usumbufu. kamua tu mwaka 2015 watakutupa hao.
mafisadi tu
halmshauri nao hawajala pesa ila hawajawasilisha tu matumizi.
nyie bovu bovu kabisa miwani yenu ina rangi za chama haioni ukweli.
mbowe anatafuna hizo pesa na mgogoro utafumuka muda sio mrefu.
halmshauri nao hawajala pesa ila hawajawasilisha tu matumizi.
nyie bovu bovu kabisa miwani yenu ina rangi za chama haioni ukweli.
mbowe anatafuna hizo pesa na mgogoro utafumuka muda sio mrefu.
chadema nao kumbe wanatafuna mapesa yetu bila kuwajibika mbowe anazitafuna tu hizo na kusingizia anajilipa madeni. slaa naye anchota milioni 15 kila mwezi za kutumia na mke mpya
Vita ya ufisadi yageukia vyama vya siasa
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovic Etouh
Ramadhan Semtawa
VYAMA sita vya siasa vyenye wawakilishi bungeni, vinadaiwa kuwa vimeshindwa kuwasilisha taarifa za hesabu kuhusu matumizi ya ruzuku ya jumla ya Sh17.14bilioni kwa mujibu wa sheria. Vyama hivyo ambavyo vinapata ruzuku inayotolewa na Serikali ni pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Tanzania Labour (TLP), NCCR-Mageuzi na UDP.
Tuhuma hizo zimo kwenye Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), inayoishia Juni 30, 2010.
CAG ametoa ripoti hiyo baada ya sheria, kwa mara ya kwanza kumpa mamlaka ya kuvikagua vyama vya siasa ambavyo mahesabu yao, yanapaswa kuwasilishwa kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania.
"Taarifa za fedha kwa malipo ya ruzuku ya Sh17,146,819,904 kwa vyama vya siasa mbalimbali hazikuwasilishwa na vyama husika katika Ofisi ya Msajili," ilisema Ripoti ya CAG katika fungu la 27 kuhusu Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na matumizi ya ruzuku.
Takwimu kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa zinaonyesha kuwa CCM kinapata ruzuku ya asilimia 70, CUF asilimia 20, Chadema asilimia nane na NCCR-Mageuzi, UDP na TLP vinagawana asilimia mbili.
Katika mahesabu ya kawaida, kati ya fedha hizo Sh 17.14 bilioni, CCM itakuwa imepata mgawo wa Sh12bilioni, CUF Sh 3.43bilioni, Chadema Sh1.37bilioni na vyama hivyo vitatu kwa asilimia mbili yao vikipata Sh343milioni.
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa alipoulizwa na gazeti dada la The Citizen kwa simu alisema asingeweza kuzungumzia jambo hilo nyeti kwa mawasiliano ya simu kwani anahitaji kukaa na kulifanyia kazi kwa kina.
Hata hivyo, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovic Utouh katika ripoti hiyo alisema kitendo hicho ni kinyume cha kifungu 14 (1) na (3) cha Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992.
Sehemu ya kifungu hicho inasema, "Chama chochote cha siasa ambacho kina usajili wa kudumu, kinapaswa kutunza hesabu zake vizuri za ruzuku na kuwasilisha kwa Msajili."
Kifungu hicho kinaendelea: "Kwa kutumia taarifa ya mwaka ya ukaguzi wa hesabu uliofanywa na mkaguzi anayetambulika kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu, huku ikiwa na tamko la mali zote zinazomilikiwa na chama hicho."
Utouh alisema pia kwamba Sh56.9milioni zilitumika na msajili huyo wakati hazikuhusiana na shughuli za vyama vya siasa.
"Jumla ya Sh56,180.44milioni zilitumika na Msajili wa Vyama vya Siasa wakati hazikuhusiana na shughuli za vyama vya siasa," alisema Utouh katika taarifa hiyo.
Mbali na tuhuma hizo, Utouh alisema kwamba kiasi cha Sh272.8milioni zilitumika kulipa deni la miaka ya nyuma la Bodi ya Udhamini ya chama cha UDP bila kuonyeshwa katika taarifa za fedha na kusema: "Malipo haya yanaathiri utendaji wa ofisi kwa mwaka wa sasa wa fedha."
UDP kinaongozwa na John Cheyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).
Alipoulizwa kuhusu fedha hizo, Cheyo alisema hajaisoma vyema ripoti hiyo na kuongeza kwamba atakuwa kwenye nafasi nzuri kuzungumzia hilo baada ya kuipitia kwa kina.
"Kwa sasa hivi itakuwa ni vigumu kuzungumzia ripoti hiyo wakati sijaisoma vizuri. Nitakuwa siko sahihi kama nitazungumza bila kuisoma. Nipe muda nisome kisha nitaweza kuizungumza," alisema.
wasafi hao chadema wanatafuna mabilioni bila kuwajibika ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
watanzania hatuna vyama tuna majambazi yanapigana kutuibia na kujaza matumbo.
wanalipwa ngapi bungeni wanagoma kabla ya kwenda huko walituambiaga kila kitu kitakuwa wazi.
mwenyekiti chota tu mpaka deni la nssf lilipwe.