Gentleman,Wakati umefika tuache UNAFIKI.
Ebu fikiri, Tundu Lissu alipigwa risasi kwa sababu tu alikuwa anatetea haki. Leo yupo mahabusu kwa kubambikwa kesi ya uhaini kwa sababu tu ya kutetea Haki.
Ikiwa Tundu Lissu alimwaga damu yake kwa kutetea Haki, kwa nini sisi tunaogopa kujitoa sadaka damu zetu zimwagike ili kutetea Haki ya Lissu na ya Watanzania kwa ujumla?
Mimi niombe sana, kama kweli tupo serious, na kwamba tunatakiwa kudai Haki, tujitoe sadaka. Sina maana tuchukue silaha kupambana na dola ili kudai Haki, namaanisha kwamba tukae mstari wa mbele kabisa kudai Haki kwa vitendo. Kama vyombo vya dola vitataka kutupiga au kutuumiza hilo ni lao lakini sisi tusiogope kuumizwa.
Inashangaza sana, mtu amepigwa risasi na amemwaga damu, sisi tunaogopa nini?
Damu zetu ni za thamani kubwa zaidi damu ya Lissu?
Ebu tuchukue hatua madhubuti zinazoumiza, siyo kupiga kelele tu.
Wewe mpumbavu, Mtoa mada ameshauri tusifanye vurugu, tudai haki kwa amani, wewe unazungumizia habari ya risasi.Gentleman,
unamaanisha kwamba,
ukipigwa risasi ndio umepata tiketi ya kuropoka na kwa jeuri kuvunja na kukiuka sheria za nchi, right?
hebu jitoe hiyo sadaka ya bila kujibakiza wadau wa JF tuone gentleman,
halafu mbona uligoma kujitoa sadaka kwenye tone tone kidigitali? ๐
Hivi huyu mpuuzi anafanyaga kazi gani? Na saa ngapi?halafu unachoandikaga ni utumbo mtupu,na unawakilisha taswira ya vijana wapumbavu wa CCMGentleman,
unamaanisha kwamba,
ukipigwa risasi ndio umepata tiketi ya kuropoka na kwa jeuri kuvunja na kukiuka sheria za nchi, right?
hebu jitoe hiyo sadaka ya bila kujibakiza wadau wa JF tuone gentleman,
halafu mbona uligoma kujitoa sadaka kwenye tone tone kidigitali? ๐
Gentleman,Hivi huyu mpuuzi anafanyaga kazi gani? Na saa ngapi?halafu unachoandikaga ni utumbo mtupu,na unawakilisha taswira ya vijana wapumbavu wa CCM
Gentleman,Wewe mpumbavu unazungumizia habari ya risasi for which sense? Mtoa mada ameshauri tusifanye vurugu, tudai haki kwa amani.
Round hii mkimuumiza Lissu mtajua kwamba polisi ni wachache kuliko sisi. Na risasi zenu hazitatuzuia kupata haki yetu.
I know you can access my IP address na mkanipata lakini sitakuwa wa kwanza kuuwawa na serikali haramu ya CCM.
CCM ni wajinga wanahubiri amani lakini wanaichukia HAKI hadharaniGentleman,
unamaanisha kwamba,
ukipigwa risasi ndio umepata tiketi ya kuropoka na kwa jeuri kuvunja na kukiuka sheria za nchi, right?
hebu jitoe hiyo sadaka ya bila kujibakiza wadau wa JF tuone gentleman,
halafu mbona uligoma kujitoa sadaka kwenye tone tone kidigitali? ๐
jikite kwenye hoja mahususi gentleman bila kubabaika ๐CCM ni wajinga wanahubiri amani lakini wanaichukia HAKI hadharani
Uzuri mmoja ni kuwa kwa Mungu hakuna hila; kule Kuna ukweli tu anaouona kupitia mioyo na nafsi zetu. Mdomoni tunaweza kutamka hivi lakini mioyoni tukawa tuna Nia ovu. Chuki, hila, udini, ukanda ni vitu Mungu hapendi.....ukiwa na hivyo moyoni hata ukeshe mwaka mzima ukiomba, Dua haiwezi kupokelewa.KWA HATUA YA AWALI NINGESHAURI TUNAOAMINI MWENYEZI MUNGU NI MUWEZA WA YOOTE NA ANAIPENDA HAKI ;
TUPOSTI SALA NZURI KUMUOMBEA LISSU NA KUIOMBEA CCM KIPIGWE UPOFU NA WAVURUGANE NA KUFARAKANA!!!
EEH MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA TUNAMUOMBEA MTOTO WAKO LISSU ALIYEFUNGWA GEREZANI NA WATU KATILI WASIOITAKA HAKI WALA AMANI UMJAALIE MOYO MKUU,AFYA NJEMA NA USHUPAVU KATIKA MAPITO MAGUMU WANAYOMPITISHA WATESI WAKE .
TUNAOMBA UWAVURUGE WATESI WAKE,WANYIME AMANI,UMOJA NA MAELEWANO. WAFARAKANISHE WASIKAE WAKAPANGA UOVU WAO POPOTE JUU YA SURA YA NCHI NA DUNIA, WALEGEZE NA WAAIBISHE MPAKA WATAKAPOJUA HAKI NDIYO HULIINUA TAIFA.
TUNAKUOMBA EEH MUNGU UILINDE NA KUIINUA NCHI YETU TANZANIA NA UTUJAALIE VIONGOZI WAPENDA HAKI NA WAKUABUDIO WEWE MUNGU KATIKA KWELI YOOTE.
TUNAOMBA HAYO YOTE KWA JINA LA KRISTO YESU BWANA WETU, AAMINA๐๐พ๐๐พ
Nashukuru sana kwa maoni yako. Sisi huku kwetu tupo kama kikosi, tuna maombi ya siku kadhaa kwa ya Taifa letu.KWA HATUA YA AWALI NINGESHAURI TUNAOAMINI MWENYEZI MUNGU NI MUWEZA WA YOOTE NA ANAIPENDA HAKI ;
TUPOSTI SALA NZURI KUMUOMBEA LISSU NA KUIOMBEA CCM KIPIGWE UPOFU NA WAVURUGANE NA KUFARAKANA!!!
EEH MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA TUNAMUOMBEA MTOTO WAKO LISSU ALIYEFUNGWA GEREZANI NA WATU KATILI WASIOITAKA HAKI WALA AMANI UMJAALIE MOYO MKUU,AFYA NJEMA NA USHUPAVU KATIKA MAPITO MAGUMU WANAYOMPITISHA WATESI WAKE .
TUNAOMBA UWAVURUGE WATESI WAKE,WANYIME AMANI,UMOJA NA MAELEWANO. WAFARAKANISHE WASIKAE WAKAPANGA UOVU WAO POPOTE JUU YA SURA YA NCHI NA DUNIA, WALEGEZE NA WAAIBISHE MPAKA WATAKAPOJUA HAKI NDIYO HULIINUA TAIFA.
TUNAKUOMBA EEH MUNGU UILINDE NA KUIINUA NCHI YETU TANZANIA NA UTUJAALIE VIONGOZI WAPENDA HAKI NA WAKUABUDIO WEWE MUNGU KATIKA KWELI YOOTE.
TUNAOMBA HAYO YOTE KWA JINA LA KRISTO YESU BWANA WETU, AAMINA๐๐พ๐๐พ
Hizo akili kwakweli!??Gentleman,
unamaanisha kwamba,
ukipigwa risasi ndio umepata tiketi ya kuropoka na kwa jeuri kuvunja na kukiuka sheria za nchi, right?
hebu jitoe hiyo sadaka ya bila kujibakiza wadau wa JF tuone gentleman,
halafu mbona uligoma kujitoa sadaka kwenye tone tone kidigitali? ๐
KWA HATUA YA AWALI NINGESHAURI TUNAOAMINI MWENYEZI MUNGU NI MUWEZA WA YOOTE NA ANAIPENDA HAKI ;
TUPOSTI SALA NZURI KUMUOMBEA LISSU NA KUIOMBEA CCM KIPIGWE UPOFU NA WAVURUGANE NA KUFARAKANA!!!
EEH MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA TUNAMUOMBEA MTOTO WAKO LISSU ALIYEFUNGWA GEREZANI NA WATU KATILI WASIOITAKA HAKI WALA AMANI UMJAALIE MOYO MKUU,AFYA NJEMA NA USHUPAVU KATIKA MAPITO MAGUMU WANAYOMPITISHA WATESI WAKE .
TUNAOMBA UWAVURUGE WATESI WAKE,WANYIME AMANI,UMOJA NA MAELEWANO. WAFARAKANISHE WASIKAE WAKAPANGA UOVU WAO POPOTE JUU YA SURA YA NCHI NA DUNIA, WALEGEZE NA WAAIBISHE MPAKA WATAKAPOJUA HAKI NDIYO HULIINUA TAIFA.
TUNAKUOMBA EEH MUNGU UILINDE NA KUIINUA NCHI YETU TANZANIA NA UTUJAALIE VIONGOZI WAPENDA HAKI NA WAKUABUDIO WEWE MUNGU KATIKA KWELI YOOTE.
TUNAOMBA HAYO YOTE KWA JINA LA KRISTO YESU BWANA WETU, AAMINA๐๐พ๐๐พ
Ni kweli, ebu tusubiri kidogo.
mihemko isaidie kua na ghadhabu zaid gentleman ๐Hizo akili kwakweli!??
Ujinga mwingine wa unafiki, dini nk. unaujua wewe.Uzuri mmoja ni kuwa kwa Mungu hakuna hila; kule Kuna ukweli tu anaouona kupitia mioyo na nafsi zetu. Mdomoni tunaweza kutamka hivi lakini mioyoni tukawa tuna Nia ovu. Chuki, hila, udini, ukanda ni vitu Mungu hapendi.....ukiwa na hivyo moyoni hata ukeshe mwaka mzima ukiomba, Dua haiwezi kupokelewa.