CHADEMA na wahamaji

kama kawaida

Senior Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
139
Reaction score
87
Hivi nyie CHADEMA kwanini huwa mnasubiri mtu akishahama chama au akiwakimbia ndo mmatoka kumjibu na kumpa majina yote?

Na mmekuwa na tabia ya kujinasibu kwamba kila anayetoka tulijua atatoka na wapo wengine. Kama kweli mmawajua watu wote wanaotoka/wanaotaka kutoka kwann msiwataje kuliko kusubiri watu wameshawakimbia ndo ma nyie mnajitokeza kusema tulijua atatoka.

Lini mtaacha siasa za matukio?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasaliti hao, hakuna haja kujibizana nao. Hata yesu alisalitiwa lakini hakuongea
 
Kwani Eddo alivyohama ccm mlimpigia vigeregere?? au ndio ndio mlijua ni fisadi???, Kwani wao hao wahamaji huwa wanaisemea chadema??
 
CDM inapukutika sana .Sijui itakuweje October 2020.
 
Tuondolee upumbavu wako hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri vichekesho. Bk 7 hizo zinaleta haya majambo.
 
Fact.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uelewa finyu sana.Sasa hoja ya swali lako ni lipi?utakuwa njiti wewe hebu muulize mama yako au mlezi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja.
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike - JamiiForums
P
 
6 Julai 2020
Lindi , Tanzania

Bernard Membe na wazee wenzake warudisha kadi na kujivua uanachama CCM


Source : Mwanahalisi TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…