TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Hawa jamaa wamekuwa ni waliaji hata pasipostahili. Sheria hii wanayoipinga imetokana na frame work ya sasa ambapo Katiba inatambua mamlaka makubwa ya Rais. Lakini sioni ni kwa namna gani hiyo itaathiri kupatikana kwa katiba mpya kwa sababu maoni ya Tume hiyo hayatakuwa ya mwisho maana kutakuwa na bunge la katiba na hatimaye referendum itakayoamua aina ya mfumo wa uongozi tunaoutaka na certainly, wale watakaokuwa wanaunga mkono na kupinga watapita kupiga kampeni na kuwaeleza wananchi mabaya au mazuri ya rasimu ya katiba. Shida iko wapi?

Hata hiyo falsafa yako uliyosoma haijakufanya uelewe jinsi JK wako anavyoongoza hii nchi hovyo hovyo tu. Naomba utumie falsafa yako kuelemisha watanzania wajue wajibu juu ya Katiba mpya.Hatuwezi kukubali mabadiliko na kisha kupinga chanzo cha mabadiliko hayo, ukifanya hivyo utajiingiza ktk utata wa kimantiki- ni kauli niliyowahi kuisoma katika moja ya vitabu vya falsafa nilivyowahi kuvisoma.,ni kauli inayotokana na mmoja wa magwiji wa falsafa duniani na waasisi wa somo hillo.,socrates..,ni wazi kuwa alikuwa anamaanisha ni vigumu kwa watu wenye ufahamu wa mambo kupinga mamlaka na nafasi ya JK kama Rais na kisha kukubali kuwa anayo nafasi ya kufanya maamuzi juu ya mchakato wa kikatiba.
hakika huu ni utata...!
Hata hiyo falsafa yako uliyosoma haijakufanya uelewe jinsi JK wako anavyoongoza hii nchi hovyo hovyo tu. Naomba utumie falsafa yako kuelemisha watanzania wajue wajibu juu ya Katiba mpya.
Unachotetea ni nini hasa!? Ni lini umepata kuona muswada unaopita bungeni ambao chama tawala hawautaki ni lini: Bunge la katiba kwa uwiano wa sasa ni kiini macho kingine!Hawa jamaa wamekuwa ni waliaji hata pasipostahili. Sheria hii wanayoipinga imetokana na frame work ya sasa ambapo Katiba inatambua mamlaka makubwa ya Rais.
Lakini sioni ni kwa namna gani hiyo itaathiri kupatikana kwa katiba mpya kwa sababu maoni ya Tume hiyo hayatakuwa ya mwisho maana kutakuwa na bunge la katiba na hatimaye referendum itakayoamua aina ya mfumo wa uongozi tunaoutaka na certainly, wale watakaokuwa wanaunga mkono na kupinga watapita kupiga kampeni na kuwaeleza wananchi mabaya au mazuri ya rasimu ya katiba.
Shida iko wapi?
Shida iko hivi:Hawa jamaa wamekuwa ni waliaji hata pasipostahili. Sheria hii wanayoipinga imetokana na frame work ya sasa ambapo Katiba inatambua mamlaka makubwa ya Rais.
Lakini sioni ni kwa namna gani hiyo itaathiri kupatikana kwa katiba mpya kwa sababu maoni ya Tume hiyo hayatakuwa ya mwisho maana kutakuwa na bunge la katiba na hatimaye referendum itakayoamua aina ya mfumo wa uongozi tunaoutaka na certainly.
Wale watakaokuwa wanaunga mkono na kupinga watapita kupiga kampeni na kuwaeleza wananchi mabaya au mazuri ya rasimu ya katiba. Shida iko wapi?
1. Maisha bora kwa kila mtanzania (Umeme masaa 24 nchi nzima, elimu bora kabisa kidato cha nne ufaulu 150%, mtihani wa hesabu jibu ni "B", Vyuo vya elimu ya juu Laptop 1 kila mwanafunzi, kila mkulima kakopeshwa trekta, kila mvuvi kakopeshwa boti ya kisasa na vifaa vya kuvulia, Gesi, mafuta bei poa).Kuna wakati ni vigumu kumuelimisha asiye tayari kuelimika.,lakini nitajitahidi hasa kwa wale waliotayari kuelewa uhalisia wa mchakato wa katiba.,naanza kwa utambuzi wa ninaotarajia kuwaelimisha.,nikianza na wewe hasa ktk kauli yako ya JK kuongoza nchi "hovyohovyo" nipe vigezo vikuu vitatu.
nadhani tuweke ushabiki pembeni tuangalie uhalisia. Katika mchakato huu wa katiba chadema hawakupinga mamlaka wala nafasi ya
jk kama raisi. Wanachosema ni kuwa katika mchakato huu amepewa mamlaka makubwa. Sasa mamlaka makubwa ya raisi yanaweza
yasiwe ishu ili nini matokeo yake? Ikiwa mchakato huu unampa raisi mwisho wa siku uwezo wa kuamua katiba iweje, aweke
anachotaka na kuondoa asichopenda nini itakuwa maana ya katiba? Hapo yeyote ana haki ya kupinga. Chadema in general
wamemkubali jk de facto and not de jure hivyo hawawezi wakapinga mamlaka yake completly na ndio maana wameunda kamati
kuongea nae. Sijaona mgongano wa mantiki hata kidogo hapo.
Chadema siku zote wanapenda amani, hawakuwahi kutafuta vurugu. Wametoa maoni yao Bungeni kwa njia ya hotuba ya msemaji wao - Lissu, hawakusikilizwa.
Sasa wanajaribu second option, ya kumshawishi JK kwa faida ya watanzania kwamba asisaini mswada huo ili kupata mwafaka wa Kitaifa na kisha kupata katiba ya kitaifa.
Ifahamike, mchakato huu uliokwishapingwa na wasomi, wanaharakati na chama kikuu cha upinzani hauwezi kuacha kuleta vurugu JK asipowasikiliza. Chadema wanasaka amani. Utata wa kimantiki sijauona.
Mamlaka ya JK yanayopingwa ni yale aliyopewa na mswada mpya wa mabadiliko ya katiba, siyo mamlaka aliyopewa na katiba hii mbovu.
JK bado ni rais hata kama urais wake umepatikana kwa njia tata kwa mujibu wa katiba yetu mbovu.
Huwezi kumkana baba yako aliyekuzaa hata kama baba yako huyo alimbaka mama yako. Huna namna, japo kuwa hupendi ubakaji. Katiba mbovu ndo imeshamweka japo kwa kubaka demokrasia, sasa unapotaka chadema wasiende kumwona Rais, unataka waende msituni kupambana? Hiyo njia hatuipendi kwa faida ya watanzania. Hakuna utata wa mantiki.