Mkuu Precise pangolin achana na hili gamba litakupotezea wakatiNgoja Niaze mimi " Usijifanye kuwa huna chama wewe ni gamba na hiyo ilikuwa ni geresha yako kusema sio mwanachama wa chama chochote mbona chama chenu kilasiku kinafanya makosa tena yanayolitia Taifa kwenye umaskini wa kutupwa lakini mkiambiwa mnajitetea. CDM kilishadhika dola? Mfuate Nape ukachukue ujira wako kwa thread hii ya kijinga pambaf"
Awali ya yote naomba niseme namshukuru mungu muweza wa yote kwa kutuwezesha kuwepo tena kwa siku ya leo,poleni wagonjwa na poleni wote mliopoteza watu wenu wa karibu,amani iwe kwenu wote wenye shida mbalimbali,mtegemee mungu na mtayashinda yote,Amen.
Nirudi kwenye mada yangu;kwanza niseme mimi si mshabiki,mnazi,mkereketwa,mwanachama,au kada wa chama chochote kile cha siasa.Ndugu zangu wa CHADEMA naomba niwaambie kitu;hakuna mtu au kundi la watu lisilo na makosa au kasoro,unapokuwa na makosa au kasoro jiua wazi kuwa utakosolewa na kukosolewa ndio mwanzo wa kujirekebisha na kujijenga upya kwa ufanisi zaidi,cha ajabu ndugu zetu nyie hampendi kukosolewa kama vile nyie ni malaika na hamfanyi makosa,mnakosea sana.Ikitokea mtu akaikosoa CHADEMA ujue atashambuliwa kwa kila aina ya kejeli,matusi na lugha zote mbovu.
Wao wanaona kauli zote na mabo yafanywayo na viongozi wao na wanchama ni sahihi na hayahitaji kukosolewa ila akisema wa CCM yote huwa ni mabaya na ni pumba tupu,tunakosea hatuendi hvyo kubalini kukosolewa ndipo mtafika mbali.Au mnataka kuwa kama mfalme Juha?ni hayo tuu.GOD'S GREAT ALL THE TIME.

Ngoja Niaze mimi " Usijifanye kuwa huna chama wewe ni gamba na hiyo ilikuwa ni geresha yako kusema sio mwanachama wa chama chochote mbona chama chenu kilasiku kinafanya makosa tena yanayolitia Taifa kwenye umaskini wa kutupwa lakini mkiambiwa mnajitetea. CDM kilishadhika dola? Mfuate Nape ukachukue ujira wako kwa thread hii ya kijinga pambaf"
Mkuu Precise pangolin achana na hili gamba litakupotezea wakati
Awali ya yote naomba niseme namshukuru mungu muweza wa yote kwa kutuwezesha kuwepo tena kwa siku ya leo,poleni wagonjwa na poleni wote mliopoteza watu wenu wa karibu,amani iwe kwenu wote wenye shida mbalimbali,mtegemee mungu na mtayashinda yote,Amen.
Nirudi kwenye mada yangu;kwanza niseme mimi si mshabiki,mnazi,mkereketwa,mwanachama,au kada wa chama chochote kile cha siasa.Ndugu zangu wa CHADEMA naomba niwaambie kitu;hakuna mtu au kundi la watu lisilo na makosa au kasoro,unapokuwa na makosa au kasoro jiua wazi kuwa utakosolewa na kukosolewa ndio mwanzo wa kujirekebisha na kujijenga upya kwa ufanisi zaidi,cha ajabu ndugu zetu nyie hampendi kukosolewa kama vile nyie ni malaika na hamfanyi makosa,mnakosea sana.Ikitokea mtu akaikosoa CHADEMA ujue atashambuliwa kwa kila aina ya kejeli,matusi na lugha zote mbovu.
Wao wanaona kauli zote na mabo yafanywayo na viongozi wao na wanchama ni sahihi na hayahitaji kukosolewa ila akisema wa CCM yote huwa ni mabaya na ni pumba tupu,tunakosea hatuendi hvyo kubalini kukosolewa ndipo mtafika mbali.Au mnataka kuwa kama mfalme Juha?ni hayo tuu.GOD'S GREAT ALL THE TIME.
Kwanza nshukuru kwa kunisemea na kunvika uanachama,pili nimepata picha kwamba wewe huwezi bishana kwa hoja bali matusi kwa maana hiyo wewe si saizi yangu.
Loo, kweli ungependa ujue...! Usiwe na wasi wasi iko siku utabahatika kujua lakini angalia wakati ukuta. Unadai mara oh, Chadema haikosolewi, Chadema si malaika...haya madai unayatoa wapi? Je hii posti yako inafanya nini au unataka kila mchangiaji akuunge mkono kwa hili dai la kipuuzi. Toka lini magamba wakaisifia Chadema, toka lini Nape akakaa kimya CCM inaposhutumiwa na mbona hata wewe umeshindwa kuficha hofu yako kwa Chadema! Get a life Nakapanya na jaribu kukaa mbali na paka, labda utabahatisha usalama wa muda shimoni kabla moshi haujaenea!Ningependa kujua kati yangu na yako nani mvivu wa kufkiri?