CHADEMA na UKAWA mjipange 2020

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Ccm imejipanga sana katika kamati ya uhamasishaji kipindi cha kampeni wana tunga wimbo nzuri za kuvutia kusema ukweli zina amasisha zinatufanya adi tuwape kura mfano wimbo wa umeipenda mwenye,utaisoma namba ila kwa upande wa chadema mnashindwa sana katika utunzi ikiwezekana ni bora muanzishe band kama ya Tot
 
Ccm imejipanga sana katika kamati ya uhamasishaji kipindi cha kampeni wana tunga wimbo nzuri za kuvutia kusema ukweli zina amasisha zinatufanya adi tuwape kula mfano wimbo wa umeipenda mwenye,utaisoma namba ila kwa upande wa chadema mnashindwa sana katika utunzi ikiwezekana ni bora muanzishe band kama ya Tot
Me naona wapiga kura wengi ni "vichaa"
 
Back
Top Bottom