Huey freeman
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 593
- 248
Huey freeman una mawazo sawasawa na Wassira sasa sijui mmewasiliana kabla hujapost au ndio umeamua kutafuta namna ya kujipatia posho nono.
Hii santuri ya kwamba Chadema itakufa kama NCCR Mageuzi hivi hata huoni aibu unapoanza kuiandika? Mmetabiri hivyo tangu mwaka 2010 lakini tunachoshuhudia ni Chadema kuendelea kukua na kukubalika kwa watanzania wa aina mbalimbali mijini na vijijini!
Hili la sheria ya katiba mpya ccm hamna namna ya kulizima kimya kimya au kwa ubabe kwakuwa wananchi wengi wako upande wa Chadema na wapinzani kwa ujumla na lazima mtarudi zizini tu kwakuwa katiba ni mali ya watanzania wote na si mali ya ccm!
CIVIL DIS-OBIDIENCE ndio kitu gani?

MAANDAMANO YAMEZIDI JAMANI haswa haswa kwa chadema na yamekua yaki tu cost sana wanachama na wafuasi wenu
tumetangaziwa tarehe 10 ni siku ya civil dis-obidience ukitafsiri kwa kawaida ni siku ya wananchi kutokutii sheria js imagine watu wasitii sheria jus 4 1 hour itakuaje?
Hio siku wahalifu watatumia huo mwanya na chadema ndo itaonekana ni chama cha vurugu
acha kulalamika,huu si wakati wa kulalamika.unataka watuuze hadi cc wenyewe ndo ushituke? utakuwa gamba wewe si bure,hizo buku7 zisikupofushe macho ukaukana utanzania na kuanza kujiona na wewe kuwa ni mkoloni mweusi hapa bongo
I can simply say viongozi wa chadema wana hoja nzuri ila wanaugonjwa mmoja wa jazba, kweli tunaonewa bt lets find more diplomatics way kwani kuna wananchi wakisikia maandamano wanajua ni vita, HAKUNA MAANDAMANO YANAYOSIKILIZWA NA YENYE NGUVU KAMA YA WANANCHI WANAOANDAMANA BILA YA KUA NA UCHAMA.
Ni sawa alichezeshwa Disco je alipo Mbowe ni sawa na ulipo wewe? kama una elimu ya juu kuliko Mbowe Imekusaidia nini wakati kila uchwao unashabikia UJINGA.Tatizo kubwa la Mbowe ni elimu. Wakati wenzake walikuwa wanasoma yeye alikuwa anachezeshwa disko na DJ Seydou na Sudi pale Mbowe.
mimi ni chadema na nimeandika hv ili kukisaidia chama changu. .tukiendelea na maandamano ambayo hatujui tunaandamana nini chama chetu kitapoteza mvuto. .narudia maandamano mazuri yakudai haki ni yale yalioandaliwa na wananchi na c viongozi wa kisiasa.. .chadema wanatakiwa watu convice kwa hoja hadi cc wananchi bila kujali chama tuungane tuandamane
Ni sawa alichezeshwa Disco je alipo Mbowe ni sawa na ulipo wewe? kama una elimu ya juu kuliko Mbowe Imekusaidia nini wakati kila uchwao unashabikia UJINGA.
AlipoMbowe hata ukinipa na mshahara juu sipataki. Chama cha kifamilia na hapo si kawekwa na mkwewe, umesahau?
AlipoMbowe hata ukinipa na mshahara juu sipataki. Chama cha kifamilia na hapo si kawekwa na mkwewe, umesahau?