Chadema na nccr vyafunga ndoa

Chadema na nccr vyafunga ndoa

Halima James Mdee duh.... na Fransis mbatia mmmh.... jamaa atakua alikua anatetemeka akili.

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi anaitwa James Francis Mbatia
Mbunge wa jimbo la Kawe anaitwa Halima James Mdee
 
hongereni kwa ndoa.sasa kafulila atahamia cdm au atang'ang'ania nccr mana huu muungano kwake ni changamoto kubwa sana.
 
Hongera dada Halima,mambo yako safi sasa.angekunyima ulaji huyu jamaa
 
Mkuu, tupe chanzo au ndiyo kama hatutaki tuache?

umeambiwa itv lakini mi naongeza tu kuwa hata mlimani tv na star wameonyesha hiyo.acha kulala utaachwa na basi.
 
huu muungano ni muhimu kwa sasa kuliko kipindi kingine chochote kilichopita.kazi ipo kwa kafulila sijui atakimbilia wapi.mana alishaanza kujisogeza cdm sasa wenzao wame merge.
 
Back
Top Bottom