CHADEMA na Mmomonyoko Maadili

CHADEMA na Mmomonyoko Maadili

Lobapula

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
2,391
Reaction score
1,586
Hivi karibunii kumekuwepo na shutuma za madiwa wa CHADEMA kunuliwa na viongozi kutoka CCM.Shutuma hizo tulianza kuziskia katika vyombo vya habari ambapo Mchungaji Peter Msingwa alilalamika kuwa madiwani huko Iringa wana nunuliwa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi.
Wiki iliyopita pia tumeona Wabunge Lema wa Arusha na Joshua Nassar wakilalamika na kumshutum mmoja wa wakuu wa wilaya akihusishwa na njama za kununyua madiwani wa CHADEMA ili waende CCM.

Swali kubwa wana bodi hapa ni kujiuliza kama tunakua na madiwani kwenye Chama Chetu ambao wana endekeza njaa mpaka kununuliwa tuna viongozi wa aina gani?

Kama mwaka 2015 tulijinadi sisi CHADEMA ndio tunaleta mabadiliko leo hii madiwani na viongozi wetu wana nunuliwa hadharani tulitegemea mabadiliko ya namna ganii?

Kama madiwani wa CHADEMA ambao hawa ndio wamiliki wa halmashauri wana nunuliwa kwa kuendekeza njaa je ngazi za vijiji NA WENYEVITI WA VITONGOJI HALI IKOJE?

HISTORIA YA KUNUNULIWA
Zitto Zuber Kabwe aliwahi kumtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuwa alihonmgwa na Nimrodi Mkono hivyo akaacha kupiga kampeni katika jimbo la Musoma vijijini na haikuishia hapo tu Gazeti la Raia Tanzania liliwahi kuandika Mbowe na Mtei wamehongwa Bilioni 5 ili kumpitisha Lowasa kugombea urais kupitia CHADEMA na kwa shutuma hizo sio Mbowe wala Mtei waliokanusha wala kufungua kesi ya kudhalilishwa na gazeti hilo.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa mpaka leo anashutumiwa kuwa alihongwa na kununuliwa na CCM ndio maana akakikimbia chama kipindi cha uchaguzi.

Sasa tunapokua na chama ambacho Katibu Mkuu anashutumiwa kununuliwa,Mwenyekiti anashutumiwa kuhongwa,madiwani wananunuliwa tuna chama cha aina gani?

Kama viongozi wa CHADEMA wananunuliwa je kuna tofauti gani ya ki maadili na CCM wanaowanunua?
 
mbowe.jpg
 
CHADEMA ni chama cha wapenda rushwa, wanafiki, wachochezi na wasaliti. Ndo maana lugha zoa ni zilezile. CHADEMA halisi ilikufa na akina Dr. Slaa, Wangwe na Zitto.

Siasa za Chadema zimkuwa si siasa endelevu tena bali siasa za mipasho na uchochezi. Cha ajabu hata wafuasi wake wamekuwa wakipelekeshwa tu kama bendera.

CCM ilikimbiwa na wafuasi wengi sana kipindi cha uchaguzi 2015, wengine wakiwa viongozi. Lakini hakikulalamika kikijua kuwa ni siasa za Demokrasia. Sasa leo CHADEMA kimehamwa na madiwana hakiamini, kimeanza kufanya siasa chafu pasi kutambua madhara yake. Hakitambui kuwa madiwani kuhama ni haki yao na ndio demokrasia yenyewe.

Ni kweli maadili ndani ya chamema yamemomonyoka, tena tangu Lowassa, na sumaye wajiunge nacho. Sasa wanaaka waisambaze hii sumu ya kumomonyoka maadili kwenye jamii. Wana nia ya kuipotosha jamii isifikirie maendeleo na kusimamia haki na weledi. Ni mbaya sana.
 
Mkuu kipindi Zitto anavuliwa uanachama alisema chadema hawana maadili
 
mqra zengine nasemaga watatue sababu yawatu kuhama

wao wanaishia kumaliza hela kwakutengeneza clip.
 
Kweli Mkuu. Badala ya kutumia raslimali walizonao kujenga kaya yao wanatumia kutengeneza mipasho isiyo na faida
 
CHADEMA ni chama cha wapenda rushwa, wanafiki, wachochezi na wasaliti. Ndo maana lugha zoa ni zilezile. CHADEMA halisi ilikufa na akina Dr. Slaa, Wangwe na Zitto.

Siasa za Chadema zimkuwa si siasa endelevu tena bali siasa za mipasho na uchochezi. Cha ajabu hata wafuasi wake wamekuwa wakipelekeshwa tu kama bendera.

CCM ilikimbiwa na wafuasi wengi sana kipindi cha uchaguzi 2015, wengine wakiwa viongozi. Lakini hakikulalamika kikijua kuwa ni siasa za Demokrasia. Sasa leo CHADEMA kimehamwa na madiwana hakiamini, kimeanza kufanya siasa chafu pasi kutambua madhara yake. Hakitambui kuwa madiwani kuhama ni haki yao na ndio demokrasia yenyewe.

Ni kweli maadili ndani ya chamema yamemomonyoka, tena tangu Lowassa, na sumaye wajiunge nacho. Sasa wanaaka waisambaze hii sumu ya kumomonyoka maadili kwenye jamii. Wana nia ya kuipotosha jamii isifikirie maendeleo na kusimamia haki na weledi. Ni mbaya sana.
Mwenyekiti aliramba 5B wao wakaishia kuzungusha mikono na kudeki LAMI
 
Hivi karibunii kumekuwepo na shutuma za madiwa wa CHADEMA kunuliwa na viongozi kutoka CCM.Shutuma hizo tulianza kuziskia katika vyombo vya habari ambapo Mchungaji Peter Msingwa alilalamika kuwa madiwani huko Iringa wana nunuliwa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi.
Wiki iliyopita pia tumeona Wabunge Lema wa Arusha na Joshua Nassar wakilalamika na kumshutum mmoja wa wakuu wa wilaya akihusishwa na njama za kununyua madiwani wa CHADEMA ili waende CCM.

Swali kubwa wana bodi hapa ni kujiuliza kama tunakua na madiwani kwenye Chama Chetu ambao wana endekeza njaa mpaka kununuliwa tuna viongozi wa aina gani?

Kama mwaka 2015 tulijinadi sisi CHADEMA ndio tunaleta mabadiliko leo hii madiwani na viongozi wetu wana nunuliwa hadharani tulitegemea mabadiliko ya namna ganii?

Kama madiwani wa CHADEMA ambao hawa ndio wamiliki wa halmashauri wana nunuliwa kwa kuendekeza njaa je ngazi za vijiji NA WENYEVITI WA VITONGOJI HALI IKOJE?

HISTORIA YA KUNUNULIWA
Zitto Zuber Kabwe aliwahi kumtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuwa alihonmgwa na Nimrodi Mkono hivyo akaacha kupiga kampeni katika jimbo la Musoma vijijini na haikuishia hapo tu Gazeti la Raia Tanzania liliwahi kuandika Mbowe na Mtei wamehongwa Bilioni 5 ili kumpitisha Lowasa kugombea urais kupitia CHADEMA na kwa shutuma hizo sio Mbowe wala Mtei waliokanusha wala kufungua kesi ya kudhalilishwa na gazeti hilo.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa mpaka leo anashutumiwa kuwa alihongwa na kununuliwa na CCM ndio maana akakikimbia chama kipindi cha uchaguzi.

Sasa tunapokua na chama ambacho Katibu Mkuu anashutumiwa kununuliwa,Mwenyekiti anashutumiwa kuhongwa,madiwani wananunuliwa tuna chama cha aina gani?

Kama viongozi wa CHADEMA wananunuliwa je kuna tofauti gani ya ki maadili na CCM wanaowanunua?
9df70dd9194b4ea18300c28f61e77ac7.jpg
 
mamburula wa lumumba hii ngoma nzito sana kwenu, ni bora tu mngekaa kimya Takukuru wafanye yao lakini hizi ngonjera zenu za kishoga ndiyo zinazidi kuthibitisha hatia kwenu.
Weka akiba ya maneno, kitachotokea usije jificha
 
Hivi karibunii kumekuwepo na shutuma za madiwa wa CHADEMA kunuliwa na viongozi kutoka CCM.Shutuma hizo tulianza kuziskia katika vyombo vya habari ambapo Mchungaji Peter Msingwa alilalamika kuwa madiwani huko Iringa wana nunuliwa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi.
Wiki iliyopita pia tumeona Wabunge Lema wa Arusha na Joshua Nassar wakilalamika na kumshutum mmoja wa wakuu wa wilaya akihusishwa na njama za kununyua madiwani wa CHADEMA ili waende CCM.

Swali kubwa wana bodi hapa ni kujiuliza kama tunakua na madiwani kwenye Chama Chetu ambao wana endekeza njaa mpaka kununuliwa tuna viongozi wa aina gani?

Kama mwaka 2015 tulijinadi sisi CHADEMA ndio tunaleta mabadiliko leo hii madiwani na viongozi wetu wana nunuliwa hadharani tulitegemea mabadiliko ya namna ganii?

Kama madiwani wa CHADEMA ambao hawa ndio wamiliki wa halmashauri wana nunuliwa kwa kuendekeza njaa je ngazi za vijiji NA WENYEVITI WA VITONGOJI HALI IKOJE?

HISTORIA YA KUNUNULIWA
Zitto Zuber Kabwe aliwahi kumtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuwa alihonmgwa na Nimrodi Mkono hivyo akaacha kupiga kampeni katika jimbo la Musoma vijijini na haikuishia hapo tu Gazeti la Raia Tanzania liliwahi kuandika Mbowe na Mtei wamehongwa Bilioni 5 ili kumpitisha Lowasa kugombea urais kupitia CHADEMA na kwa shutuma hizo sio Mbowe wala Mtei waliokanusha wala kufungua kesi ya kudhalilishwa na gazeti hilo.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa mpaka leo anashutumiwa kuwa alihongwa na kununuliwa na CCM ndio maana akakikimbia chama kipindi cha uchaguzi.

Sasa tunapokua na chama ambacho Katibu Mkuu anashutumiwa kununuliwa,Mwenyekiti anashutumiwa kuhongwa,madiwani wananunuliwa tuna chama cha aina gani?

Kama viongozi wa CHADEMA wananunuliwa je kuna tofauti gani ya ki maadili na CCM wanaowanunua?
Umemaliza ni aibu tupu! Lilitakiwa kuwa siri ya ndani
 
mbowe.jpg

5B yeye na Mkwe wake ni nyingi sana
 
Back
Top Bottom