CHADEMA na mbio za sakafuni

CHADEMA na mbio za sakafuni

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,056
Reaction score
1,867
Kuna misemo ya kiswahili kama mbio za sakafuni huishia ukingoni,ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,hata maji yachemke kiasi gani mwisho wake yatapoa,hata jiwe lirushwe juu kiasi gani lakini litarudi chini.Hiyo ni baadhi tu ya misemo michache kati ya mingi inayoashiria kuporoka kwa chadema.

chama kimekuwa hakina mvuto kimekuwa kama genge la wahuni.hivi mtu mwenye busara zake anaweza kushabikia chadema?na ndio maana ile mikoa inayoongoza kwa ustaarab wameamu kukataa hiki chama.Chama kimekuwa kama kambare yaani mtoto ndevu na mkubwa ndevu yaani kila mtu ni msemaji wa chama.

Msidanganyike na hao wapiga debe na bodaboda wanaohudhuria mikutano yenu lakini mkumbuke siku ya uchaguzi hao wala hawana mda wa kupiga kura wanaopiga kura ni wakina mama na waze wanaojua umuhimu wa chama kipi cha kupigia kura.

kwa staili chadema hakitaanguka?
 
aisee kama ni hasira bora unywe maji ya barafu manake utakufa kihoro chadema ndio habari ya mujini pole kwa kukwazwa
 
wote ninyi mumetmwa majinga wa ccm hamuna hoja hyo status ya kchoko ---- we ----- tu huna jpya mbwa mtajua 2 mwaka 2015 lazma mudndokee pua
 
Endelea kujifariji magamba. Mara nyingi napenda kutumia mfano wa SODOMA NA GOMORA,nako pia moto ulivyoanza kuunguza wadhambi harufu za nyama zilihisiwa na wale ambako moto bado haujafika hivyo wakajua ndiyo kumechanganya zaidi wakijua ni harufu ya ndafu kuumbeeee ndiyo hukumu hiyo ya moto inasogea kwao. Angalia maudhui yasije yakakugusa moja kwa moja,unaisha huku unajipa faraja.
Siku ikifika sijui mtaficha wapi nyuso zenu kama ilivyo sasa kwa nape na mr.ndovu.
 
Na hii je ni vipi? ............. DEBE TUPU HALIACHI KUTIKA...... HAKUNA MSIBA USOKUWA NA MWENZIE........ Kama huelewi nikuambie kuwa hizo ni kelele tu kwani huwa zavuma sana lakini mwishowe hutulia. Chama chenu (kama siyo mwananchama utanisamehe bure) sasa kinabaki kupiga kelele tu wakati wenzao wanakijenga chama chao tena katika maeneo ambayo hamkutegemea. Msiba utaja wakuta wakati wenzenu weshajipanga. Ingalikuwa ni heri leo hii uwashauri chama chako wajipange kwa kuwaelezea wananchama wake ni nini so far chama chao kimewafanyia. Otherwise jipange sana kwani u r so far from the realities.

The Listener
 
Kuna misemo ya kiswahili kama mbio za sakafuni huishia ukingoni,ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,hata maji yachemke kiasi gani mwisho wake yatapoa,hata jiwe lirushwe juu kiasi gani lakini litarudi chini.Hiyo ni baadhi tu ya misemo michache kati ya mingi inayoashiria kuporoka kwa chadema.chama kimekuwa hakina mvuto kimekuwa kama genge la wahuni.hivi mtu mwenye busara zake anaweza kushabikia chadema?na ndio maana ile mikoa inayoongoza kwa ustaarab wameamu kukataa hiki chama.Chama kimekuwa kama kambare yaani mtoto ndevu na mkubwa ndevu yaani kila mtu ni msemaji wa chama.Msidanganyike na hao wapiga debe na bodaboda wanaohudhuria mikutano yenu lakini mkumbuke siku ya uchaguzi hao wala hawana mda wa kupiga kura wanaopiga kura ni wakina mama na waze wanaojua umuhimu wa chama kipi cha kupigia kura.
kwa staili chadema hakita anguka?
changia bila matusi.
Mikoa inayoongoza kwa ustaarabu Tanzania inapaswa iwe ni ile watu wake wameelimika, inawasomi wengi unaweza nitajia mikoa hiyo ? kwa taarifa yako uko kwa wasomi ndiko CHADEMA inakokubalika
 
Kuna misemo ya kiswahili kama mbio za sakafuni huishia ukingoni,ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,hata maji yachemke kiasi gani mwisho wake yatapoa,hata jiwe lirushwe juu kiasi gani lakini litarudi chini.Hiyo ni baadhi tu ya misemo michache kati ya mingi inayoashiria kuporoka kwa chadema.chama kimekuwa hakina mvuto kimekuwa kama genge la wahuni.hivi mtu mwenye busara zake anaweza kushabikia chadema?na ndio maana ile mikoa inayoongoza kwa ustaarab wameamu kukataa hiki chama.Chama kimekuwa kama kambare yaani mtoto ndevu na mkubwa ndevu yaani kila mtu ni msemaji wa chama.Msidanganyike na hao wapiga debe na bodaboda wanaohudhuria mikutano yenu lakini mkumbuke siku ya uchaguzi hao wala hawana mda wa kupiga kura wanaopiga kura ni wakina mama na waze wanaojua umuhimu wa chama kipi cha kupigia kura.
kwa staili chadema hakita anguka?
changia bila matusi.

Sawa mkuu kmmk
 
kujifarij nako ni kuzuri mbona. kwan si mlisema kitakufa 2012 mkarudia hakipitish 2013 then kitanyamaza tu, mtamaliza ngonjera zoooote baadae mtaanza taarabu mtamaliza kwa hadith
 
Kuna misemo ya kiswahili kama mbio za sakafuni huishia ukingoni,ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,hata maji yachemke kiasi gani mwisho wake yatapoa,hata jiwe lirushwe juu kiasi gani lakini litarudi chini.Hiyo ni baadhi tu ya misemo michache kati ya mingi inayoashiria kuporoka kwa chadema.chama kimekuwa hakina mvuto kimekuwa kama genge la wahuni.hivi mtu mwenye busara zake anaweza kushabikia chadema?na ndio maana ile mikoa inayoongoza kwa ustaarab wameamu kukataa hiki chama.Chama kimekuwa kama kambare yaani mtoto ndevu na mkubwa ndevu yaani kila mtu ni msemaji wa chama.Msidanganyike na hao wapiga debe na bodaboda wanaohudhuria mikutano yenu lakini mkumbuke siku ya uchaguzi hao wala hawana mda wa kupiga kura wanaopiga kura ni wakina mama na waze wanaojua umuhimu wa chama kipi cha kupigia kura.
kwa staili chadema hakita anguka?
changia bila matusi.
Thread thread thread RIP thread, tulikupenda sana ila mods wamekupenda zaidi
 
Mkuu Shekau, leo unatuletea ujumbe huu ukiwa maiduguri au dutse? Maana hayo yote ni maeneo yako. Invincible man. Mwenyezi Mungu aliye juu yuko na CDM. CDM ndo roho ya watanzania wanaotaka mabadiliko ya maisha yao kwa sasa. Kalagabaho.
 
magamba mtakuja na kila aina ya uharo lakini cdm iitazidi kupasua anga tu!!!! mlisema vyama vya msimu sasa mmegeuka walalamikaji!! ni mwendo wa kuyaunguza magamba tu hadi kitakapoeleweka 2015
 
Chadema ni chama cha kilaghai hutaki unaacha kimekwishapwelewa kabisa.
 
Tangu chadema waanze siasa za vurugu na kusababisha vifo sitaki hata kuwasikia kwenye siasa za tanzania.
 
Back
Top Bottom