CHADEMA na mbio za sakafuni

CHADEMA na mbio za sakafuni

mnatujazia server ya jf kwa thread ambazo hata hazina objectives wala goal unakuta mtoa mada ni mtu mwenye heshima asiye na hekima
 
Na bado shujaa zito hajaanza ziara za mikoani mbona mtakoma.

Hivi ikatokea zitto akasemehewa mtashika wapi? Jisimamie na watu wenu akina kambaya na lipumba au nape na kinana vinginevyo mmeshika pabaya Shekau,.pole kwa majanga yanayowasibu ila ndo hivyo tena alipewa kapewa tu
 
Kuna misemo ya kiswahili kama mbio za sakafuni huishia ukingoni,ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,hata maji yachemke kiasi gani mwisho wake yatapoa,hata jiwe lirushwe juu kiasi gani lakini litarudi chini.Hiyo ni baadhi tu ya misemo michache kati ya mingi inayoashiria kuporoka kwa chadema.

chama kimekuwa hakina mvuto kimekuwa kama genge la wahuni.hivi mtu mwenye busara zake anaweza kushabikia chadema?na ndio maana ile mikoa inayoongoza kwa ustaarab wameamu kukataa hiki chama.Chama kimekuwa kama kambare yaani mtoto ndevu na mkubwa ndevu yaani kila mtu ni msemaji wa chama.

Msidanganyike na hao wapiga debe na bodaboda wanaohudhuria mikutano yenu lakini mkumbuke siku ya uchaguzi hao wala hawana mda wa kupiga kura wanaopiga kura ni wakina mama na waze wanaojua umuhimu wa chama kipi cha kupigia kura.

kwa staili chadema hakitaanguka?

Nakushauri uwachane na hili jukwaa la siasa uwe unatumia muda wako majukwaa mengine kama la udaku au la mapenzi na mahusiano
 
Kuna misemo ya kiswahili kama mbio za sakafuni huishia ukingoni,ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,hata maji yachemke kiasi gani mwisho wake yatapoa,hata jiwe lirushwe juu kiasi gani lakini litarudi chini.Hiyo ni baadhi tu ya misemo michache kati ya mingi inayoashiria kuporoka kwa chadema.

chama kimekuwa hakina mvuto kimekuwa kama genge la wahuni.hivi mtu mwenye busara zake anaweza kushabikia chadema?na ndio maana ile mikoa inayoongoza kwa ustaarab wameamu kukataa hiki chama.Chama kimekuwa kama kambare yaani mtoto ndevu na mkubwa ndevu yaani kila mtu ni msemaji wa chama.

Msidanganyike na hao wapiga debe na bodaboda wanaohudhuria mikutano yenu lakini mkumbuke siku ya uchaguzi hao wala hawana mda wa kupiga kura wanaopiga kura ni wakina mama na waze wanaojua umuhimu wa chama kipi cha kupigia kura.

kwa staili chadema hakitaanguka?

Hiyo misemo uliyotangulia kuisema hapo mwanzo ni sahihi. Maana ndivyo itakavyo kuwa kwa ccm. Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha hivyo ndugu ccm iko ukingoni kwa sasa inapumulia mashine. pole kwa kuwa bado hujazinduka bado umezimia na umefunikwa na shuka la ccm
 
Back
Top Bottom