ili ili lalalalalalalalalal dnnnnnnnn dheieiwkdjsm nsmjdh skjwddir mdkjsnn
Kulikuwapo habari za uwepo wa uzinduzi wa M4C jimbo la kati (Dodoma,Singida,Morogoro) kesho j'mosi tar 6 april!mwenye taarifa atujuze kama zoezi hlo lipo au limeahrishwa!
Nawasilisha!
Imefutwa kwa sababu Dodoma hawana wanachama wa kutosha, wanategemea wanafunzi wa vyuo sasa hivi wameamua kuachana na siasa na kubobea kwenye masomo maana wamegundua siasa hailipi bila elimu
Elimu ipi iliyooza? Ya Mulugo? Kuna elimu Tanzania? Wakati policcm na wakubwa zake wanafanya bidii kuua elimu ili tuwe mambumbu wote? Unafikiri wajukuu zako watapona?
Imefutwa kwa sababu Dodoma hawana wanachama wa kutosha, wanategemea wanafunzi wa vyuo sasa hivi wameamua kuachana na siasa na kubobea kwenye masomo maana wamegundua siasa hailipi bila elimu